PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mshana Jr pamoja na kazi nzuri anayoifanya sasa hivi, lakini alitunga kitabu kuieleza Chadema ni nini? All in all, let us "sideline" the past and forge for a better future!
Kitabu kilianfika juu ya Chadema ya Mbowe ambayo ilikuwa saccos yake ambayo ni tofauti na Chadema ya ukweli inayoongozwa na Lissu!!
Waache waende Chauma kwani Mbowe hawezi kuingia kwa Zitto hawezi kupokelewa usaliti wake unajulikana!!
Hao G55 ni mradi wa mamluki! Hawafiki mbali.
 
Hahaha yaani unaiacha meli na kujitosa baharini eti kisa wimbi kubwa limeipiga meli na kuanza kuyumba.

Naona utoto utoto bado unaendelea, huwezi kuwa matured kama unasusa baadala ya kupambana na kuleta mabadiriko.
 
Mw
Mwamba alijua kutengeneza chama, aisee kangatuka hata mwaka haujaisha chama kinameguka kila leo
 
Kama aliweza kupachika na mke, hata yeye Kuondoka Chadema si ajabu.
 
Hamna kitu humo - man made takataka
 
Sasa hawa matapeli jamani hadhi ya Kia Vigogo wanaitoa wapi?
 
CHADEMA inaangamia kwa kukosa maarifa
 
Sometimes I feel G55 is a joke and a shit to say! This people can’t stop the movement they never had any impact than kissing Mbowe ass! Gooooo
 
Wenzako uliokaa nao hapo wamepata sonona kwakuwa wanajua humaanishi ukisemacho,ila kwa sababu ya ushawishi wenye nguvu umelazimika kuyaongea hayo,pole na kwaheri na uwasalimie uendako.
 
Kama alisalitiwa Yesu itashindikana nini kusaliti mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…