PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huwa napata shida kuwaelewa watu, ukihamia chama bila kukisema vibaya haiwezekani!?

Viongozi wa sasa wamedumu muda gani mpaka walaumiwe!

Nadhani uungwana ni jambo la Msingi kwa kiongozi yeyote!Kama ni uvumilivu basi kileo kama Kiongozi alipaswa pia kuvumilia!
 
M Makapi yanazidi kujipepeta.
Ndio naona majina yao leo.
 
Kwamba,walishazoea kuandaa movement ,harafu baadae ikihiti na mwenyekiti wao ,wanabadilishia gia angani ,sasa hivi wameingia cha kike ,mwenyekiti ni mwingine

Walitakiwa kushauri ,enzi za mbowe kwamba no reforms no election,isiende nje....
 
Kwani walivyojiunga walijiunga kwa press kama hivi?
 
WanaTIA huruma kwa kwelii chadema ni lidude hata lisu akiondoka bado itadunda.

Kitu ambachoo hawafamu wakamuulize Dr slaa zitto kabwe na sasa mbowe hao vifaranga wadogo sana.
 
Chadema Ni taasisi. Kama walivyoingia ndivyo wanavyotoka. Wengine wataingia na kutoka pia. Bado ipo na itaendelea kuwepo hadi hapo mama Tanganyika atakapokombolewa kutoka kwenye mikono michafu ya c-c-m
 
Nawaunga mkono Ushauri wa Bure Chadema: Moja Shika Sii Kumi Nenda Rudi!Hoja ya Reforms Japo ni Hoja ya Msingi Sana KufanyaMaandalizi ya Uchaguzi ni Busara Muhimu!
P
 
Kazi za wale makamanda uchwara wa CHADEMA JF mbona hazizai matunda?🤔😌

...sijajua na wao watajiunga na kuunga juhudi za CHADEMA ipi kati ya Tatu zinazoonekana.


=====
...so far, hata CDM kabila au CDM uharakati au CDM G hamsa hamsa, hata moja haina sera mbadala na za CCM au ama Sera walizobuni wao wenyewe za Uchumi, Jamii n.k n.k

😌
 
Na waende tu
 
Km kwl we ni mwanachama una roho ngumu kuliko mwendawazimu
 
 
Wamekula matusi mtandaoni Leo, watu naona wamechanganyikiwa na ugumu wa maisha wameichoka ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…