PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kilewo alishalimwa barua, Asenga tayari alishatimuliwa, Moza kamfuata Bwanaake Kilewo, hao wengine wamefuata mkumbo
 
Kwendeni kabisa wachawi nyie. Hasa wewe Kilevi ndio maana mlishindwana na uliyeungana naye kuwa mwili mmoja,kumbe shida ni wewe!
 
Wachaga watupu! Waache waende wakaanzishe saccos nyingine baada ya Kumnunua mzee wa ubwabwa!
Wanatufanya Watz wajinga, watu wanafanya Harakati mpaka wanapata Ulemavu na Kupotea ila wao still Tamaa zao Zipo juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…