PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
384
Reaction score
508
IMG-20250405-WA0194.jpg

Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.

Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
 
Hao G55 ni wajinga wanataka kuharibu chama, wanataka ubunge bila tume huru ya uchaguzi..!!

Tumewaona G Unit na G7 itakuwa wao vidampa??
Hebu watulie wenzao wafanye vitu vya maana kwa wananchi..!!
Hatuwezi kuacha mamilioni ya ubunge ndgu yangu na huku mama ametuahidi mpunga tukimshona vizuri mwenyekiti wetu apagawe.
 
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Tatizo Lissu mbishi sana, na hakubali ushauri wa kushindwa
 
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.
Kwanza Vibali vya hiyo mikutano wanapewa kwa tiketi ya chama gani?
Maana kibali cha mikusanyiko kinatolewa kwa chama kilichosajiliwa
 
Hatuwezi kuacha mamilioni ya ubunge ndgu yangu na huku mama ametuahidi mpunga tukimshona vizuri mwenyekiti wetu apagawe.
Ndo mnavyojidanganya?? Mbona mlishindwa 2024 kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa??

Sasa km mmeahidiwa mpunga si muhamie huko kwake ili awape ubunge na pesa bila chokochoko..!! This time wananchi tutawapiga mawe mkileta makomwe yenu..!!
 
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Thamani ya CHADEMA ni misingi inayoisimamia LISU aliwauliza swali hatukuwa na wabunge je tulipoteza thamani ? Sasa iweje leo iwe nongwa? Hatukuwa nao thamani ikawepo leo hatuwezi kupewa kishkaji maana tutapokonywa kishkaji Bora iwe iwavyo.
 
Back
Top Bottom