PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.
Kwanza Vibali vya hiyo mikutano wanapewa kwa tiketi ya chama gani?
Maana kibali cha mikusanyiko kinatolewa kwa chama kilichosajiliwa
Watasema cdm na ccm watahakikisha hii kitu inaenda kama wabunge wa cov19 walivyotinga bungeni. Kuna watu kaz yao ni kutumia mpenyo kupata kipato.
 
Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.
Kwanza Vibali vya hiyo mikutano wanapewa kwa tiketi ya chama gani?
Maana kibali cha mikusanyiko kinatolewa kwa chama kilichosajiliwa
Narudia tena wakae wayamalize kwa amani. Maamuzi ya Chama sio msahafu Kama ambavyo katiba siyo msahafu inaweza badilishwa!!
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Pesa za kuzunguka nchi nzima tena kwa helicopter ni nyingi sijui wafadhili ndio wapo nyuma ya kuigawa Chadema?

Nadhani Mzee Mtei ndio mtu sahihi wa ndani kabisa wa chama,ni bora kumuuliza au kumuomba ushauri mapema.
 
Kwa hyo mstaafu hakukubali matokeo au nani yupo nyuma ya hyo taasisi mpyaa🤔🤔

Km nchi safar Bado ipo
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Waanze usiku huu huu wala wasingoje kesho. Ikibidi waandamane na Nchimbi na Makala. Msimamo wa cdm kama chama uko palepale. No reform no Election fullstop.
 
Leo sio tarehe 1 ,huruhusiwi kufanya mikutano Yao bila wenyeviti Kanda kutoa na chini Yao kutoa ruhusa
 
Hahahaha hiiii balaaa kwa hiyo chadema itaanza kuparuana yenyewe kwa yenyewe
 
Narudia tena wakae wayamalize kwa amani. Maamuzi ya Chama sio msahafu Kama ambavyo katiba siyo msahafu inaweza badilishwa!!

Acha ulaghai. Maamuzi ya Mkutano Mkuu yamepitishwa January 20, iweje Leo muanze kuyapinga?. Acheni siasa za udalali.
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Sidhani kama watakuwa na uhalali wa kufanya mikutano.Wao siyo viongozi wa chama
 
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Uko sahihi sana tatizo ninaloliona ni uongozi mpya hautaki ushauri, wana kibur, dharau kupitia kwa wapuuzi wachache
 
Back
Top Bottom