PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukumbuke kwa mazingira ya Africa hasa Tanzania chochote kinawezekana!! COVID-19 wako bungeni kwa uhalali gani? Hivi nyie watu mna fikra sawa sawa kweli?
Ndio upuuzi huo munao uendekeza bado,Acheni Lissu afanye kazi yake.
 
Hao G55 ni wajinga wanataka kuharibu chama, wanataka ubunge bila tume huru ya uchaguzi..!!

Tumewaona G Unit na G7 itakuwa wao vidampa??
Hebu watulie wenzao wafanye vitu vya maana kwa wananchi..!!
Pesa zao za gharama za kampeni wewe kinakuuma nini? Washinde au washindwe wachana nao
 
Mwanachadema yeyote anayekipenda Chama kiukweli kwa sasa ni wakati wa kuungana na mwenyekiti wetu mpya na makamu mwenyekiti kusonga mbele, uchaguzi ulishapita na mshindi alishapatikana, tusonge mbele
 
Hao wanajisumbua tu, vipo vikao vya nidhamu vya chama, kanuni za chama zitatumika. Tena mamlaka ya nidhamu iko chini ya makamu mwenyekiti ambaye kwa sasa ni Heche. Kitaeleweka tu!

Sisi tunamuunga mkono Lissu. Hao madalali waliokula pesa za CCM watafute njia nyingine ya kurudisha pesa zao lakini si kwa gharama za mabadiliko ambayo wananchi tunahitaji.
 
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Funzo kubwa kwa Chadema, wasijekurudia kufanya uchaguzi wa ndani katika mwaka wa uchaguzi mkuu. Wataingia katika Uchaguzi Mkuu wakiwa na majeraha ya Uchaguzi wa ndani.
Hekima itumike kupata suluhu, vinginevyo watakuwa kama TLP ya Mrema na akina Marando.
 
Hao G55 ni wajinga wanataka kuharibu chama, wanataka ubunge bila tume huru ya uchaguzi..!!

Tumewaona G Unit na G7 itakuwa wao vidampa??
Hebu watulie wenzao wafanye vitu vya maana kwa wananchi..!!
Na wewe unaamini iyo tume huru utaipata MWAKA huu naje uchaguzi mtauzuiaje ni maswali mepesi mwambieni lisuu aseme uchaguzi unazuiwaje
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Hili siyo jambo la kushangaza kwa sababu sponsor wao mkubwa ni Samia na kibaraka wake Mbowe.
 
😂😂tunawasubiri waje... Tutawapokea watakavyokuja!!!. Labda wawe kwenye malori ya polis na wahutubie humohumo.
 
Back
Top Bottom