zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mbowe anataka kuharibu legacy yake mwenyewe, tulimsifia sana humu kama baba wa demokrasia leo anaona chama kinataka kuvurugwa na wahuni wachache alafu anakaa kimya tu!!View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Nadhani hawa ni kusubiri baraza kuu ndio likaamue hatma yao, kama wana numbers wapindue maazimio ila kama hawana waondolewe otherwise enough is enough. Tukiwachekea hawa, usishangae hiyo oktoba mambo ya Covid 19 yakajirudia