Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
relax na ujikite kwenye hoja mahususi mezani my lady 🐒We mzee kibuyu ujue..!!
Mbona nyie yule aliyempinga mkiti wenu kupitwa bila kupingwa mlimsuuza mapema Kabla jogoo hajawika??
relax na ujikite kwenye hoja mahususi mezani my lady 🐒We mzee kibuyu ujue..!!
Mbona nyie yule aliyempinga mkiti wenu kupitwa bila kupingwa mlimsuuza mapema Kabla jogoo hajawika??
yaani kibuyu hiki hiki cha kuwekea maziwa my lady au?🐒We mzee nawe kibuyu tu..!!
Sawa tunakujaTutawapiga nyie jichanganyeni mje kufanya mikutano mtaona…!!
😹yaani kibuyu hiki hiki cha kuwekea maziwa my lady au?🐒
Haya. Subiri muda ufike!😹😹😹 Lissu anapigwa kwa mawe kwa kipi??
Nyie wa nyama na pombe za bure lazima mpigwe tu wananchi hatutaki blah blah.!!
Km makelele ya bure mbona mnateseka?Niudhurie ya nn MTU anasema mtakiwasha hana ata rungu na polisi wapo JE alikiwashaga Lini na ni Tanzania ipi iyo utakayo kiwasha kwa watu wapi hao watakao toka Amna ktu kama icho ashafeli mpaka apo anachofanya n kelele zisizo na matokeo
Poa poa..Haya. Subiri muda ufike!
Hao vivuruge, maji yamewafika shingoni wamekula pesa za veggies sasa wanaogopa kuliwa viboga 😹hapo ndipo mtu unabaki kushangaa. Chama kimetangaza hakuna uchaguzi na mtu anautaka ubunge, sasa si ahamie kwenye vyama vingine vilivyosema vitashiriki uchaguzi
Inawezekana kabisa CCM ikaamua kuwahonga hao Chadema feki G55 ubunge hata majimbo yote 50 ili kulikwepa kundi hatari la TAL lenye misimamo mokali. Na Kisha kulifanya kama ilivyokuwa CUF.View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Yes,
Evidence???
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Aliyeko nyuma na hwa wahuni soon atajulikana.View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Wanataka kufanya kazi ya CCM ,si wave na sare zao kabisa, ila kitakacho wakuta hawatasahauWanatafutwa kupigwa mawe na wananchi..!!
Muhimu umeelewa 😹Yes,
ilibidi niulize kama ni kubuyu cha maziwa au asali,
si nitakua nafaidi maziwa na asali sana sasa my lady?🐒
Wapumbavu washazoea pesa wanazohongwa na veggies kudhoofisha chama..!!Wanataka kufanya kazi ya CCM ,si wave na sare zao kabisa, ila kitakacho wakuta hawatasahau
Mbowe kafanyaje tena 😀😀,Kwani ni Mwenyekiti?Sikuwah kujua km mbowe ni mjinga ivi