PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Mbowe ndio mratibu wa hili genge akitumia watu wake aliokua amwaaminisha uongo ...tuanze na Joni Mrema ni juzi alizusha kwamba anafukuzwa uanachama!!!

Leo anajiita G55 hilo kundi halikuweza hata kubuni jina lao wengi ukiwauliza nn maana ya G hawajui hata!!! Mtu makini kama Jenerali Ulimwengu, Tuntemeke Sanga, Njelu Kasaka , Unaweza kuwalinganisha hawa watu na Mrema?? Sijui Yericko Nyerere ambae hata jina la baba yake halitaki anakomaa na jina la mkoa wa Mara, hawa ni loosers ambao kweli sasa naamini Mbowe ni muongo sana yule mzee anasingizia ana biashara zake ataenda kufanya ziko wapi si atulie mbona anaunda magenge yake njaa yaliyokua yanakula kwa mgongo wa siasa ..Hovyo sana wewe Mbowe
 
Ukisoma comments nyingi humu zinazounga mkono huu uongozi ni wazi utagundua wamezungukwa na utoto sana!
Alafu kosa kubwa la uongoz huu wa lissu, waache kabisa kuendeshwa na wajinga wachache wa mtandao wa x
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.

Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
its too late, waje tunawasubiri watakavyotunguliwa na wananchi kwa mawe wasaliti wakubwa
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.

Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Huu ndio ujinga wa vyama vya siasa vya kiafrica visivyo na mrengo unaoeleweka. Yaani Chama hakina itikadi kila mmoja anajiona yuko sahihi. Sasa wameanza fujo na kuna mmoja hapo rahisi kutumika na mshindani wao. Na njaa waliyonayo ndio wataweza kweli kukataa kutumika? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kundi mshenzi ambalo haliwezi hata Kubuni jina linalosimamia maslahi ya matumbo yao linatumia Jina la G 55 shenzi kabisa...Njooni mkoani muone
 
Sasa km mmeahidiwa mpunga si muhamie huko kwake ili awape ubunge na pesa bila chokochoko..!! This time wananchi tutawapiga mawe mkileta makomwe yenu..!!
hapo ndipo mtu unabaki kushangaa. Chama kimetangaza hakuna uchaguzi na mtu anautaka ubunge, sasa si ahamie kwenye vyama vingine vilivyosema vitashiriki uchaguzi
 
Hudhuria mikutano yake utajua kila kitu.
Niudhurie ya nn MTU anasema mtakiwasha hana ata rungu na polisi wapo JE alikiwashaga Lini na ni Tanzania ipi iyo utakayo kiwasha kwa watu wapi hao watakao toka Amna ktu kama icho ashafeli mpaka apo anachofanya n kelele zisizo na matokeo
 
Wewe upo wapi?. Lissu kaomba uchaguzi usogezwe mbele. Mabadiliko ya msingi yafanywe kwanza.
Wewe unaomba usogezwe watu wapo kwenye maandalizi tayari na anaomba kama nani wakati WENGINE wote wanajiandaa na uchaguzi ivi vitu angefanya BAADA ya uchaguzi ILI kuitafuta reform sio MWAKA huu kwisha feli
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.

Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Upumbav tu, hawana jipya na wajiandae kuzomewa.
 
Niudhurie ya nn MTU anasema mtakiwasha hana ata rungu na polisi wapo JE alikiwashaga Lini na ni Tanzania ipi iyo utakayo kiwasha kwa watu wapi hao watakao toka Amna ktu kama icho ashafeli mpaka apo anachofanya n kelele zisizo na matokeo
Kahudhurie mikutano ya babu wasira ndiyo size yako chawa wewe
 
Back
Top Bottom