econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Umma upi?? Makamanda ni wachache sana,walio wengi ni waoga
Hiyo sio shida yako
Umma upi?? Makamanda ni wachache sana,walio wengi ni waoga
Who sponsor them????
Wakipigwa mawe hawa kwangu itakuwa sawa. Ila na akipigwa mawe Lissu isije mbwa yoyote kulalamika humu!
Funzo kubwa kwa Chadema, wasijekurudia kufanya uchaguzi wa ndani katika mwaka wa uchaguzi mkuu. Wataingia katika Uchaguzi Mkuu wakiwa na majeraha ya Uchaguzi wa ndani.
Hekima itumike kupata suluhu, vinginevyo watakuwa kama TLP ya Mrema na akina Marando.
Na wewe unaamini iyo tume huru utaipata MWAKA huu naje uchaguzi mtauzuiaje ni maswali mepesi mwambieni lisuu aseme uchaguzi unazuiwaje
Huu ndiyo ukweli! Na kama wataruhusiwa kufanya mikutano basi CCM itakuwa inahusika moja kwa moja kufadhili na kuiombea kibali/ruhusa!Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.
Kwanza Vibali vya hiyo mikutano wanapewa kwa tiketi ya chama gani?
Maana kibali cha mikusanyiko kinatolewa kwa chama kilichosajiliwa
🚮🚮🚮Na wewe unaamini iyo tume huru utaipata MWAKA huu naje uchaguzi mtauzuiaje ni maswali mepesi mwambieni lisuu aseme uchaguzi unazuiwaje
Hayo "mazuri" aliyokuwa anayafanya yalikuwa chambo cha kuwaingiza watu kwenye "mission" yake binafsi. Siungi mkono usanii kwenye mambo nyeti.Jee hakuwa anafanya vizuri kusifiwa? Binadamu atasifiwa afanyapo mazuri na akibadilika atashughulikiwa tuu. Hilo suala la kubadilika sio ajabu kwa mwanadamu kwani hata shetani tunaambiwa alikuwa Malaika wa Mungu lakini akaasi.
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Je wewe unawaunga mkono G55Gentleman,
ni muhimu sana kuheshimu uhuru na haki ya kujieleza na kuamua mustakabali wa wananchi ikiwa ni pamoja na wanasiasa hususani juu ya namna ya kuendesha siasa na uelekeo wao![]()
nawaunga mkono watia nia wote wa chadema ikiwa ni pamoja na Lisu,Je wewe unawaunga mkono G55

Hudhuria mikutano yake utajua kila kitu.Na wewe unaamini iyo tume huru utaipata MWAKA huu naje uchaguzi mtauzuiaje ni maswali mepesi mwambieni lisuu aseme uchaguzi unazuiwaje
Tutawapiga nyie jichanganyeni mje kufanya mikutano mtaona…!!Labda uwapige wewe pekeako
We mzee nawe kibuyu tu..!!nawaunga mkono watia nia wote wa chadema ikiwa ni pamoja na Lisu,
subiri nimalize kuwaskiza hao watia nia wa g55 gentleman![]()
😹😹😹 Lissu anapigwa kwa mawe kwa kipi??Wakipigwa mawe hawa kwangu itakuwa sawa. Ila na akipigwa mawe Lissu isije mbwa yoyote kulalamika humu!
We mzee kibuyu ujue..!!acha uchochezi na upotoshaji wanasiasa wanapotumia haki na uhuru wao wa kujieleza na kuamau uelekeo wa siasa zao my lady![]()