PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo Lissu mbishi sana, na hakubali ushauri wa kushindwa
Dunia inahitaji watu wenye maono na uwezo wa kusimamia issues kama lissu na kina mahufuli vinginevyo dunia isingekuwa apa ilipo uwe unasoma historia kijana
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.

Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Hawa majamaa watakavhokutana nacho watashangaa sana. Kiufupi hawa majamaa ni program ya CCM.
Wananchi tusitegemee jipya kutoka kwao. Hawana tofauti na wale covid
 
Ninachojua wao Wana hamu ya kufukuzwa chama Ili wapate namna ya kuanzisha chama Chao au kwenda vyama vingine. Inatafakarisha sana kuona CCM ikihubiri no reform no election kwa muktadha wa kuonea huruma chadema. Kwa sera ya ndani ni ngumu kuzuia uchaguzi , kwa sera ya nje ni janga !. Tanzania itapita pagumu mno na hapo ndipo ukombozi halisi utakapojitojeza . Inawezekana chadema kikawa hata hakipo ila ukombozi ukawepo .mark my word
 
Unalaumu uongozi mpya kwa lipo?. Wao wanatekeleza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa 20 January 2025. Hao wanalalamika waliulizwa kama Wana maoni wakakaa kimya kwenye Mkutano Mkuu, Leo mgombea wao kashindwa ndipo wanaanza kutoka ushauri.
Yaani hawa wanadhani hatuna akili sio? Kwa vile ni Lissu kasimamia maazimio ya chama basi wanataka agenda isiyopendwa na ccm ndio walale nayo yombo ili wapate maokoto sio? Tunazo kumbukumbu.
 
View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.

Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Watazomewa na kupigwa mawe, ila watalindwa na Polisi na CCM.
 
Back
Top Bottom