Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 384
- 508
Wewe na kaka yako Lucas Mwashambwa na mjomba wenu TlaatlaahWanatafutwa kupigwa mawe na wananchi..!!
Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
NO UNIFORM, NO ERECTIONHawa waongeze idadi na ccm iwape mpunga wa kutosha ila hawatobadili msimamo wetu.
No reform no election
Hao G55 ni wajinga wanataka kuharibu chama, wanataka ubunge bila tume huru ya uchaguzi..!!Wewe na kaka yako Lucas Mwashambwa na mjomba wenu Tlaatlaah
Hatuwezi kuacha mamilioni ya ubunge ndgu yangu na huku mama ametuahidi mpunga tukimshona vizuri mwenyekiti wetu apagawe.Hao G55 ni wajinga wanataka kuharibu chama, wanataka ubunge bila tume huru ya uchaguzi..!!
Tumewaona G Unit na G7 itakuwa wao vidampa??
Hebu watulie wenzao wafanye vitu vya maana kwa wananchi..!!
Tatizo Lissu mbishi sana, na hakubali ushauri wa kushindwaMimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Ndo mnavyojidanganya?? Mbona mlishindwa 2024 kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa??Hatuwezi kuacha mamilioni ya ubunge ndgu yangu na huku mama ametuahidi mpunga tukimshona vizuri mwenyekiti wetu apagawe.
Thamani ya CHADEMA ni misingi inayoisimamia LISU aliwauliza swali hatukuwa na wabunge je tulipoteza thamani ? Sasa iweje leo iwe nongwa? Hatukuwa nao thamani ikawepo leo hatuwezi kupewa kishkaji maana tutapokonywa kishkaji Bora iwe iwavyo.Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Hoja haipigwi runguWanatafutwa kupigwa mawe na wananchi..!!
Hao hawana hoja ila uroho wa vyeo na kudidimiza chama..!!Hoja haipigwi rungu