G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi.

=======

Leaders of the G7 group of rich nations have said they will back Ukraine for "as long as it takes" in the wake of Monday's major Russian missile strikes.

The group, which met for emergency virtual talks, said it would keep on giving military and humanitarian aid.

Nato also said it would stand with Ukraine for as long as necessary.

At least 19 people were killed and scores more injured, as Russian missiles hit regions across Ukraine, including central Kyiv.

Strikes continued into Tuesday, with civilians advised to stay in air raid shelters.

Russian President Vladimir Putin said the attacks were in retaliation for a strike on a key bridge linking Russia with occupied Crimea, for which he blamed Ukraine.

Western leaders were quick to condemn the Russian escalation, and the G7 on Tuesday reiterated its commitment to Ukraine.

"We will continue to provide financial, humanitarian, military, diplomatic and legal support and will stand firmly with Ukraine for as long as it takes," the group said in a statement.

The bloc also condemned Mr Putin's recent attempts to annex four regions of Ukraine with self-styled referendums.

Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked the G7 for further air defence capabilities.

MSN
 
Hao G7 walichulua hatua Gani miaka 8 yote ambayo Ukrain ilikuwa ikiuwa watu kule Donbass, na waliichukulia USA hatua Gani ilivyoivamia Iraq, Libya etc. Mwisho wa siku utagundua ni unafiki tu unaoitawala hiyo western world. Wanajiona wao ndiyo polisi wa hii dunia.
Kwa scale ya mashambulizi inayofanya sasa hv Russia, wangefanya marekani hao wa Ukrain wangeshakufa mamilioni. Ata Ukrain yenyewe ungefanya mashambulizi kwa scale hiyo wangeshaua warusi mamilioni.
Leo hii Saudi wameshitukia kwamba hao westerners walikuwa wanawachonganisha kwa madlai Yao Ili wawauzie silaha, na wao wapate rasilimali kama mafuta ya Bure Bure, utaona Saudi na Iran now wanafanya mazungumzo ya kumaliza tofauti zao, so wataungana soon, kule north Korea na south Korea watapata akili soon, so ukiangalia vzuri machafuko yanayotokea duniani kwa sasa chanzo kikuu ni hao westerners

Uzuri Russia yeye anashambulia military installation, haangaiki na civilian structures na anatumia high precision strikes kitu ambacho warekani au NATO wasingefanya.
Na hata Leo hii ameamua kuanza kushambulia maeneo ambayo hayakuwa planned kama vituo vyao umeme, reli n.k (kitu ambacho Marekani angefanya siku ya kwanza kabisa ya mashambulizi) kutokana na Ukrain kushupaza shingo na kujiona kidume.
 
Hao G7 walichulua hatua Gani miaka 8 yote ambayo Ukrain ilikuwa ikiuwa watu kule Donbass, na waliichukulia USA hatua Gani ilivyoivamia Iraq, Libya etc. Mwisho wa siku utagundua ni unafiki tubunaoitawala hii Dunia.
Kwa scale ya mashambulizi inayofanya sasa hv Russia, wangefanya Marekani hao wa Ukrain wangeshakufa mamilioni. Ata Ukrain yenyewe ungefanya mashambulizi kwa scale hiyowangeshaua warusi mamilioni.

Uzuri Russia yeyeanashambulia military installation, haangaiki na civilian structures na anatumia high precision strikes kitu ambacho warekani au NATO wasingefanya.

Na hata Leo hii ameamua kuanza kushambulia maeneo ambayo hayakuwa planned kama vituo vyao umeme, reli n.k kitu ambacho Marekani angefanya siku ya kwanza kabisa ya mashambulizi kutokana na Ukrain kushupaza shingo na kujiona kidume.

Urusi amekwepa military installations maana anajua mabomu yatapanguliwa, amejikita kwenye kupiga maeneo ya uraiani, apambane frontline aachane na raia.

Kupiga mabomu kwenye parking lot ndio military installation gani, hizi akili zenu za kijihadi huwa zinawachizisha

111022APUKRAINEphoto01.jpg
 
Don't believe Ukrainians, they are naught kids. Hiyo picha imekuwa cropped..unajua nyuma ya hayo magari lilikuwa na kitu Gani. Majeshi ya Ukrain wanasifika kwa kutumia magari ya kiraia na kukaa maeneo ya kiraia Ili kukwepa kugundulika mapema. Ukiona Urusi ameshambulia hayo magari ujue ameyafuatilia na kuwa na uhakika kwamba Kuna connection na hayo Majeshi. Pia ufahamu kwenye vita Kuna madhara, usitegemee lishambuliwe kambi jeshi alafu magari yaliyopo hapo yakabaki salama.
Huo mfumo wa kujikinga unaongelea hapa umeshakula overwhelmed kutokana na idadi ya makombora na mashambulizi , coz unaweza Kuta yanakuja makombora kumi yakapanguliwa mawili. So bado haujawa effective kwenye kuzuia mashambulizi, napia Ukrain anaogopa kutumia kwenye kuzuia mashambulizi yote Ili usiwe rahisi kugundulika, coz ukitumia kufanya interception maana yake utaonekana ulipo so inawarahisishia warusi kufanya mashambulizi Zaidi.
 
ha ha ha!! Ona unavyotumia nguvu nyingi kutetea ukatili wa Urusi kwa raia wa Ukraine, waambieni hao Warusi wapige kambi za kijeshi za Ukraine, wapige military installations zenyewe, wanajua jinsi itakua kazi kupaka mbuzi rangi maana mabomu yote yatapanguliwa.
Kupiga raia ni uwoga wa kijinga, ila kuna vifaa vinakuja vya kulinda hao wananchi.
 
Kenge kwa kuwa sio msikivu,hahitaji kuhurumiwa ,aanze kujihurumia mwenyewe kwaanza ndipo ahurumiwe🤸🤸
 
Si tulikubaliana Putin anachezea kichapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kichapo cha kijeshi, dume kwa dume, sio tunapigana kisha unanikimbia na kwenda kupiga watoto.
Hata hivyo huko uraiani atadhibitiwa tu, kwani hamjaona mabomu ya wale wapiganaji wa dini yenu HAMAS namna mabomu yao hupanguliwa kila wakishambulia uswazi.
 
Daraja la Crimea ilikuwa military installation? Acha wapigwe kwa ugaidi walioufanya Crimea.
 
Urusi amekwepa military installations maana anajua mabomu yatapanguliwa, amejikita kwenye kupiga maeneo ya uraiani, apambane frontline aachane na raia.

Kupiga mabomu kwenye parking lot ndio military installation gani, hizi akili zenu za kijihadi huwa zinawachizisha

111022APUKRAINEphoto01.jpg
Vita vya kupigana na mapanga kama jumong vimepitwa na wakati saivi ni mashine infantry wanapita kusafisha tu
 
ha ha ha!! Ona unavyotumia nguvu nyingi kutetea ukatili wa Urusi kwa raia wa Ukraine, waambieni hao Warusi wapige kambi za kijeshi za Ukraine, wapige military installations zenyewe, wanajua jinsi itakua kazi kupaka mbuzi rangi maana mabomu yote yatapanguliwa.
Kupiga raia ni uwoga wa kijinga, ila kuna vifaa vinakuja vya kulinda hao wananchi.
RAIA wa UKRAINE pamoja na sirikali yao wote MAGAIDI kwahio kifo halali yao kabisa

Kwahio acha wapukutike mpaka FIKRA zao zakigaidi ziwatoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi.

=======

Leaders of the G7 group of rich nations have said they will back Ukraine for "as long as it takes" in the wake of Monday's major Russian missile strikes.

The group, which met for emergency virtual talks, said it would keep on giving military and humanitarian aid.

Nato also said it would stand with Ukraine for as long as necessary.

At least 19 people were killed and scores more injured, as Russian missiles hit regions across Ukraine, including central Kyiv.

Strikes continued into Tuesday, with civilians advised to stay in air raid shelters.

Russian President Vladimir Putin said the attacks were in retaliation for a strike on a key bridge linking Russia with occupied Crimea, for which he blamed Ukraine.

Western leaders were quick to condemn the Russian escalation, and the G7 on Tuesday reiterated its commitment to Ukraine.

"We will continue to provide financial, humanitarian, military, diplomatic and legal support and will stand firmly with Ukraine for as long as it takes," the group said in a statement.

The bloc also condemned Mr Putin's recent attempts to annex four regions of Ukraine with self-styled referendums.

Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked the G7 for further air defence capabilities.

MSN
Hii vita marekani ameyaingiza mataifa mengi kwenye huu mgogoro kububusa na marekani anachochea hii vita kwa sababu ana maslahi makubwa sana ktk hii vita

Mataifa mengi yameisha anza kumshitukia kwa kitendo chake cha kuuza gesi yake kwa bei kubwa sana ili kuua uchumi wa ulaya. Ule mtego aliopewa China kuhusu taiwan, ilikuwa china ajichanganye ili naye aangushwe kiuchumi ila china imeshitukia mtego na hata kitendo cha Opec kukataa kuongeza uzalishaji wa mafuta ni mwendelezo wa kishitukia dhamila mbovu ya marekani ktk mgogoro wa Ukraine. Hao wanaojiita G7 wanapelekeshwa tu kibubusa na marekani.

Naombea hii vita ichukue muda mrefu kwani ninaamini kuna mengi sana tutayaona. Marekani atajikuta amebaki peke yake ktk ufadhili wa vita ya Ukraine kwani nchi nyingi zitakuwa zimetambua madhumuni ya marekani ktk vita hiyo
 
Insha yote hii ndio umesema nini, siku mkiacha kutumia akili za kidini mtaelevuka.
 
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi.

=======

Leaders of the G7 group of rich nations have said they will back Ukraine for "as long as it takes" in the wake of Monday's major Russian missile strikes.

The group, which met for emergency virtual talks, said it would keep on giving military and humanitarian aid.

Nato also said it would stand with Ukraine for as long as necessary.

At least 19 people were killed and scores more injured, as Russian missiles hit regions across Ukraine, including central Kyiv.

Strikes continued into Tuesday, with civilians advised to stay in air raid shelters.

Russian President Vladimir Putin said the attacks were in retaliation for a strike on a key bridge linking Russia with occupied Crimea, for which he blamed Ukraine.

Western leaders were quick to condemn the Russian escalation, and the G7 on Tuesday reiterated its commitment to Ukraine.

"We will continue to provide financial, humanitarian, military, diplomatic and legal support and will stand firmly with Ukraine for as long as it takes," the group said in a statement.

The bloc also condemned Mr Putin's recent attempts to annex four regions of Ukraine with self-styled referendums.

Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked the G7 for further air defence capabilities.

MSN
Mataifa 7 yanayo muogopa mrusi! Kweli mrusi ni balaa yani mataifa 7 yanaungana kumjadili?

NB: Hapo sijagusia NATO, umoja wa mataifa 30 maoga yanayo muogopa mrusi.
 
Hawezi akaogopwa maana ameshindwa kuparamia kataifa kadogo jirani, kamemzingua hadi ameamua kutupa mabomu uswahilini....
 
Sasa kwanini NATO iliundwa kama hawamuogopi mrusi? Na kwanini hawa g7 wamekutana tena kwa dharura kama kweli hawamuogopi mrusi?

NATO iliundwa kama muungano wa kujihami, na ni dhahiri vitaifa vidogo vidogo majirani wa Urusi vinapaswa kujiunga maana hana hata aibu ya kujipima na kuvinyanyasa, ila vikijiunga NATO huwa anakaa mbali navyo, hawezi hata akakosea njia.
Ona hii ramani litaifa lote hili kuonea kajirani kama haka, japo kamelitoza kamasi...

iwjyug4vdnn81.jpg

Russia_Ukraine_Locator.svg
 
Back
Top Bottom