Hao G7 walichulua hatua Gani miaka 8 yote ambayo Ukrain ilikuwa ikiuwa watu kule Donbass, na waliichukulia USA hatua Gani ilivyoivamia Iraq, Libya etc. Mwisho wa siku utagundua ni unafiki tu unaoitawala hiyo western world. Wanajiona wao ndiyo polisi wa hii dunia.
Kwa scale ya mashambulizi inayofanya sasa hv Russia, wangefanya marekani hao wa Ukrain wangeshakufa mamilioni. Ata Ukrain yenyewe ungefanya mashambulizi kwa scale hiyo wangeshaua warusi mamilioni.
Leo hii Saudi wameshitukia kwamba hao westerners walikuwa wanawachonganisha kwa madlai Yao Ili wawauzie silaha, na wao wapate rasilimali kama mafuta ya Bure Bure, utaona Saudi na Iran now wanafanya mazungumzo ya kumaliza tofauti zao, so wataungana soon, kule north Korea na south Korea watapata akili soon, so ukiangalia vzuri machafuko yanayotokea duniani kwa sasa chanzo kikuu ni hao westerners
Uzuri Russia yeye anashambulia military installation, haangaiki na civilian structures na anatumia high precision strikes kitu ambacho warekani au NATO wasingefanya.
Na hata Leo hii ameamua kuanza kushambulia maeneo ambayo hayakuwa planned kama vituo vyao umeme, reli n.k (kitu ambacho Marekani angefanya siku ya kwanza kabisa ya mashambulizi) kutokana na Ukrain kushupaza shingo na kujiona kidume.