G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

Crimea ipo nchi gan ? niletee ramani nione , piq jeshi la Urusi linafanya nn kuanzia Crimea kuja Kiev , unawezaj kutaka kuitoa serikali iliyochaguliwa na wananchi ? Putin anataka alete udikteta wake huku ukraine wkt wenzake washastarabika wametoka huko kitambo
Shoga Zelensky aliingia kwenye hio nafasi kwa mapinduzi yaliyofadhiliwa na hao wamagharibi, safari hii anatolewa hapo anapandikizwa kibaraka wa mrusi
 
Hao G7 walichulua hatua Gani miaka 8 yote ambayo Ukrain ilikuwa ikiuwa watu kule Donbass, na waliichukulia USA hatua Gani ilivyoivamia Iraq, Libya etc. Mwisho wa siku utagundua ni unafiki tu unaoitawala hiyo western world. Wanajiona wao ndiyo polisi wa hii dunia.
Kwa scale ya mashambulizi inayofanya sasa hv Russia, wangefanya marekani hao wa Ukrain wangeshakufa mamilioni. Ata Ukrain yenyewe ungefanya mashambulizi kwa scale hiyo wangeshaua warusi mamilioni.
Leo hii Saudi wameshitukia kwamba hao westerners walikuwa wanawachonganisha kwa madlai Yao Ili wawauzie silaha, na wao wapate rasilimali kama mafuta ya Bure Bure, utaona Saudi na Iran now wanafanya mazungumzo ya kumaliza tofauti zao, so wataungana soon, kule north Korea na south Korea watapata akili soon, so ukiangalia vzuri machafuko yanayotokea duniani kwa sasa chanzo kikuu ni hao westerners

Uzuri Russia yeye anashambulia military installation, haangaiki na civilian structures na anatumia high precision strikes kitu ambacho warekani au NATO wasingefanya.
Na hata Leo hii ameamua kuanza kushambulia maeneo ambayo hayakuwa planned kama vituo vyao umeme, reli n.k (kitu ambacho Marekani angefanya siku ya kwanza kabisa ya mashambulizi) kutokana na Ukrain kushupaza shingo na kujiona kidume.
Hakuna kitu naombea kama Iran na Saudia wakae meza moja! Naomba ili jambo lifanyike tena kwa haraka sana na liwe na matokeo chanya
 
Ajabu
NATO iliundwa kama muungano wa kujihami, na ni dhahiri vitaifa vidogo vidogo majirani wa Urusi vinapaswa kujiunga maana hana hata aibu ya kujipima na kuvinyanyasa, ila vikijiunga NATO huwa anakaa mbali navyo, hawezi hata akakosea njia.
Ona hii ramani litaifa lote hili kuonea kajirani kama haka, japo kamelitoza kamasi...

iwjyug4vdnn81.jpg

Russia_Ukraine_Locator.svg
Ajabu ni kwamba Ukraine ni kubwa 603,700 km² zaidi Iraq yenye 438,317 km² lakini ulivyo mshamba hukuona shida yoyote kwa Marekan mweye 9.834 million km² alipoenda kuivamia Iraq akishilikiana na mataifa ya Ulaya.
 
Hakuna kitu naombea kama Iran na Saudia wakae meza moja! Naomba ili jambo lifanyike tena kwa haraka sana na liwe na matokeo chanya
Hao wameshapatana.
Furaha ya US ni kuona chi za kiarabu hazipatani Ili auze silaha zao. Urudi ameamua kuingilia kati, hataki ushuzi wa watu fulani kumiliki hatima na uelekeo wa dunia. So ameanza kupatanisha nchi zenye mafarakano
 
Nitashukuru sana, jana yenyewe nilifurah ugen aliopata Putin na nilitoa maoni yangu kupitia twiter nikiwaandikia ubalozi wa Russia juu ya jambo hili
 
Urusi amekwepa military installations maana anajua mabomu yatapanguliwa, amejikita kwenye kupiga maeneo ya uraiani, apambane frontline aachane na raia.

Kupiga mabomu kwenye parking lot ndio military installation gani, hizi akili zenu za kijihadi huwa zinawachizisha

111022APUKRAINEphoto01.jpg

Wakati mwingine unazungumzaga mambo gani lakini??? Nani ambaye hajui kwamba jiji la Kiev linalindwa na air defense systems za Merikani - je,juzi asubuhi zilifanikiwa kutungua missiles ngapi za Urusi, yaani mnachekesha sana, mnajua sana kujifariji hamuoni hata aibu!!

We fikiria mpaka Ikulu inashambuliwa pamoja na ofisi kuu ya kitelijensia nayo inashambuliwa - kwa kifupi Ofisi za kitovu cha Serikali ya Zelensky zinatiwa kiberiti na missiles mahili za Putin halafu wewe unatuletea mambo yako ya ngu-fye-fye-fye Putin this Putin that - my foot!!

Tuliwa onya mara nyingi hapa kwamba jeshi la Urusi sio la kuchukulia kimzaa mzaa bahati mbaya hamukuelewa somo - sasa Zelensky akiendeleza ujinga wake wa kutaka kumtunishia muscles "Ivan the terrible" kitakacho fuata ni "shock and awe" ataishia yeye na familia yake yote kukimbilia uhamishoni akibahatika kunusuru roho yake.
 
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi.

=======

Leaders of the G7 group of rich nations have said they will back Ukraine for "as long as it takes" in the wake of Monday's major Russian missile strikes.

The group, which met for emergency virtual talks, said it would keep on giving military and humanitarian aid.

Nato also said it would stand with Ukraine for as long as necessary.

At least 19 people were killed and scores more injured, as Russian missiles hit regions across Ukraine, including central Kyiv.

Strikes continued into Tuesday, with civilians advised to stay in air raid shelters.

Russian President Vladimir Putin said the attacks were in retaliation for a strike on a key bridge linking Russia with occupied Crimea, for which he blamed Ukraine.

Western leaders were quick to condemn the Russian escalation, and the G7 on Tuesday reiterated its commitment to Ukraine.

"We will continue to provide financial, humanitarian, military, diplomatic and legal support and will stand firmly with Ukraine for as long as it takes," the group said in a statement.

The bloc also condemned Mr Putin's recent attempts to annex four regions of Ukraine with self-styled referendums.

Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked the G7 for further air defence capabilities.

MSN

Hao G7 ni wehu tu, kwani wao wanachukulia vita ya Ukraine na Urusi ni halali iwapo Majeshi ya nchi hizo yatakabiliana??!, mbona vikwazo kwa urusi baada ya hiyo operation Vimekuwepo??!--- kwao Ukraine akivunja miundo mbinu ya Russia ni halali lakini Russia akivunja miundo mbinu ya Ukraine ni ukiukaji wa taratibu za vita!!🤣🤣
 
Mkuu , ata Bucha walizusha kwamba warusi wameua watu wakawatupa barabarani na kuwazika wengine kwenye makaburi ya pamoja then Warusi wakawithdraw..but Urusi wakaomba UN security council ifanye uchunguzi ukihusisha independent organ Ili kama wao wanahusika wachukuliwe hatua..tangu Urusi waombe haikuweza fanyika Zaidi ya miezi minne now coz dunia nzima inajua ukweli wahusika wakuu wa hayo mauaji ni Ukrain..na hata hao UN ni Us puppets ...so kwa hizo picha unazopost ni picha ambazo Nazis wamezipost Ili dunia ipate sympath..slogan kuu ya Nazism ni kuwafanya watu watii amri kwa nguvu yeyote...juzi tu hapo baada ya Warusi kujiondoa Liman wamechinja sana watu ambao walihisi ni pro Russians..but hutaona. Popote hizo main stream media kama BBC, cnn zikicoment chochote. So cha kukushauri jaribu kufuatilia Zaidi hiyo vita kwa undani Ili usijejikuta unashabikia mambo usiyoyafahamu

Ukraine wamepokea kifaa cha kwanza, kitasaidia pakubwa dhidi ya mashambulizi ya uraiani, ili turudi kwenye frontline, Mrusi anabinywa kote.
 
Ajabu

Ajabu ni kwamba Ukraine ni kubwa 603,700 km² zaidi Iraq yenye 438,317 km² lakini ulivyo mshamba hukuona shida yoyote kwa Marekan mweye 9.834 million km² alipoenda kuivamia Iraq akishilikiana na mataifa ya Ulaya.

Mahaba ya kidini yanakupofusha unashindwa kuona picha na kuielewa, iangalie tena upate aibu....

iwjyug4vdnn81.jpg
 
Wakati mwingine unazungumzaga mambo gani lakini??? Nani ambaye hajui kwamba jiji la Kiev linalindwa na air defense systems za Merikani - je,juzi asubuhi zilifanikiwa kutungua missiles ngapi za Urusi, yaani mnachekesha sana, mnajua sana kujifariji hamuoni hata aibu!!

We fikiria mpaka Ikulu inashambuliwa pamoja na ofisi kuu ya kitelijensia nayo inashambuliwa - kwa kifupi Ofisi za kitovu cha Serikali ya Zelensky zinatiwa kiberiti na missiles mahili za Putin halafu wewe unatuletea mambo yako ya ngu-fye-fye-fye Putin this Putin that - my foot!!

Tuliwa onya mara nyingi hapa kwamba jeshi la Urusi sio la kuchukulia kimzaa mzaa bahati mbaya hamukuelewa somo - sasa Zelensky akiendeleza ujinga wake wa kutaka kumtunishia muscles "Ivan the terrible" kitakacho fuata ni "shock and awe" ataishia yeye na familia yake yote kukimbilia uhamishoni akibahatika kunusuru roho yake.

mabomu yalitupwa 75 ila yakapanguliwa 41 ambayo yalilenga sehemu nyeti, maeneo ya uswazi hayakua yamelindwa, Ukraine hawakujua kwa mlivyo waoga mtashambalia hata bembea za watoto, ila kifaa cha kwanza kimewasili, mtabinywa kote, ili turudi frontline huko mnako pakimbia kama ukoma...

Ona mlivyo waoga mnafuata watoto kwenye bembea..

AA12PT4w.img
 
Hao G7 ni wehu tu, kwani wao wanachukulia vita ya Ukraine na Urusi ni halali iwapo Majeshi ya nchi hizo yatakabiliana??!, mbona vikwazo kwa urusi baada ya hiyo operation Vimekuwepo??!--- kwao Ukraine akivunja miundo mbinu ya Russia ni halali lakini Russia akivunja miundo mbinu ya Ukraine ni ukiukaji wa taratibu za vita!!🤣🤣

Bwana akbar akar umetoweka, turudi frontline acheni kuhangaika na uswazi, kuna vifaa vimekuja kulinda huko.
 
Sasa kwanini NATO iliundwa kama hawamuogopi mrusi? Na kwanini hawa g7 wamekutana tena kwa dharura kama kweli hawamuogopi mrusi?

Wanakutana kujadili namna ya kulinda vitaifa vidogo ambavyo vinanyanyaswa na Urusi, mwambieni huyo Urusi akosee njia ashambulie kataifa kadogo mojawapo wa mwanachama wa NATO.
 
Back
Top Bottom