Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Viongozi karibu wote wa Ulaya ni vibaraka wa Marekani. Wamepitishwa kwa msaada wa Marekani ndio maana wanashindwa kumsaliti mfadhili wao japo wanaona chumi zao zikianguka.Hii vita marekani ameyaingiza mataifa mengi kwenye huu mgogoro kububusa na marekani anachochea hii vita kwa sababu ana maslahi makubwa sana ktk hii vita
Mataifa mengi yameisha anza kumshitukia kwa kitendo chake cha kuuza gesi yake kwa bei kubwa sana ili kuua uchumi wa ulaya. Ule mtego aliopewa China kuhusu taiwan, ilikuwa china ajichanganye ili naye aangushwe kiuchumi ila china imeshitukia mtego na hata kitendo cha Opec kukataa kuongeza uzalishaji wa mafuta ni mwendelezo wa kishitukia dhamila mbovu ya marekani ktk mgogoro wa Ukraine. Hao wanaojiita G7 wanapelekeshwa tu kibubusa na marekani.
Naombea hii vita ichukue muda mrefu kwani ninaamini kuna mengi sana tutayaona. Marekani atajikuta amebaki peke yake ktk ufadhili wa vita ya Ukraine kwani nchi nyingi zitakuwa zimetambua madhumuni ya marekani ktk vita hiyo
Ukweli raia hawataki NATO kabisa ndo maana maandamano hayaishi.
Ngoja Decemba ifike kutanuka