G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

Mbona hueleweki? Mizinga ilikuwa 75 au 84? Kama hujui hata idadi ya mizinga iliyorushwa utaijuaje iliyo kuwa intercepted?

Tulia, kifaa cha kwanza kimefika....subiri itakua inapanguliwa yote, turudi frontline acheni kukimbia.
 
Ukraine wamepokea kifaa cha kwanza, kitasaidia pakubwa dhidi ya mashambulizi ya uraiani, ili turudi kwenye frontline, Mrusi anabinywa kote.
Hizo air defence siyo kitu jipya mkuu...kwa Aina ya mashambulizi anayofanya Urusi, Israel mwenyewe amesema mfumo wao hauwezi fua dafu. Labda kama wangepewa hizo air defence Zaidi ya 1000 na ziwekwe kwenye kila Mita za mraba ndo zingeweza saidia.Cha muhimu kufahamu ni kwamba anachofanya mrusi ni kuoverwelm mifumo ya ulinzi kwa kurusha makombora mengi so wakati mfumo wa ulinzi ukiangaima na hayo makombora, mrusi anaulocate huo mfumo ulipo, then kinachofuata anatumia zile Hypersonic missiles au zile kamikaze drones za my Iran ( geran 2)kudungua hiyo mifumo. Cha kufahamu ni kwamba hakuna mfumo wowote wa kujihami ambao kwa sasa unaweza kudungua hizo Hypersonic missiles, na ni technologist ambayo kwa sasa walioweza kubreak through ni Urusi na China pekee..Mmarekani bado hajaweza
 
Mahaba ya kidini yanakupofusha unashindwa kuona picha na kuielewa, iangalie tena upate aibu....

iwjyug4vdnn81.jpg
Dini gani mkuu? Unanifaham mimi? Mamaangu Mkriso na Babaangu Mkristo tena dhehebu la Roman Catholic! Jinalangu Frank ila siko tayar kushabikia upuuzi alafu nikajuficha kwemye mgongo wa dini.
 
Hizo air defence siyo kitu jipya mkuu...kwa Aina ya mashambulizi anayofanya Urusi, Israel mwenyewe amesema mfumo wao hauwezi fua dafu. Labda kama wangepewa hizo air defence Zaidi ya 1000 na ziwekwe kwenye kila Mita za mraba ndo zingeweza saidia.Cha muhimu kufahamu ni kwamba anachofanya mrusi ni kuoverwelm mifumo ya ulinzi kwa kurusha makombora mengi so wakati mfumo wa ulinzi ukiangaima na hayo makombora, mrusi anaulocate huo mfumo ulipo, then kinachofuata anatumia zile Hypersonic missiles au zile kamikaze drones za my Iran ( geran 2)kudungua hiyo mifumo. Cha kufahamu ni kwamba hakuna mfumo wowote wa kujihami ambao kwa sasa unaweza kudungua hizo Hypersonic missiles, na ni technologist ambayo kwa sasa walioweza kubreak through ni Urusi na China pekee..Mmarekani bado hajaweza

Hamnaa alishambulia kwa 75 ila 41 zikapanguliwa maana zililenga maeneo nyeti, ila zikaachwa hizo zilizopiga bembea na uswazi.
Kifaa kimeshapokelewa....
 
Dini gani mkuu? Unanifaham mimi? Mamaangu Mkriso na Babaangu Mkristo tena dhehebu la Roman Catholic! Jinalangu Frank ila siko tayar kushabikia upuuzi alafu nikajuficha kwemye mgongo wa dini.

Ukristo sio kitu cha kuigwa, hauwezi ukashabikia litaifa lote hilo kujaribu kuparamia na kudhulumu kataifa kadogo tena kwa kupiga makazi ya watu mabomu na kuua wengi kisha ukajiita Mkristo, aidha utakua majirani zako hapo ni hawa watu wa muddy na wameshakuteka akili maana hainiingii akilini.
 
Hizo ni propaganda...don't fall on them...mifumo Yao ingekuwa inafanya kazi Leo hii Ukrain wasingekuwa na Giza

Hilo neno propaganda ndio ushakua msamiati wenu.
 
G7 ni mbwa km mbwa wengine walichobanwa mbavu ni nishati, ndio maana wanavijihasira vya kitoto ila wsnaweza kuchezea wote kioigo kitakatifu
 
Ukristo sio kitu cha kuigwa, hauwezi ukashabikia litaifa lote hilo kujaribu kuparamia na kudhulumu kataifa kadogo tena kwa kupiga makazi ya watu mabomu na kuua wengi kisha ukajiita Mkristo, aidha utakua majirani zako hapo ni hawa watu wa muddy na wameshakuteka akili maana hainiingii akilini.
Nahisi umekula ugoro ww
 
mabomu yalitupwa 75 ila yakapanguliwa 41 ambayo yalilenga sehemu nyeti, maeneo ya uswazi hayakua yamelindwa, Ukraine hawakujua kwa mlivyo waoga mtashambalia hata bembea za watoto, ila kifaa cha kwanza kimewasili, mtabinywa kote, ili turudi frontline huko mnako pakimbia kama ukoma...

Ona mlivyo waoga mnafuata watoto kwenye bembea..

AA12PT4w.img

We uliyajuaje hayo yote, are you a five star general kwenye jeshi la Ukraine au??

Sijui back ground yako kielimu ni ipi? Who told you, you can easily bring down hypersonic missiles - FYI, all designated targets were hit na ushahidi upo - wewe unatuletea story za vijiweni kwa lengo la kujifariji tu - pole sana.

Hivi umesahau mapema mwaka huu ulitwambia kwamba jeshi la Urusi linaelekea kuishiwa missiles nk, sasa za juzi zilitoka kwenye Dunia gani?? Na bado the worst is yet to COME tuone kama NATO na kiranja wao mkuu watatia pua ya moja kwa kwa moja kwenye vita hii - endeleeni kujifariji.
 
We uliyajuaje hayo are you a five star general kwenye jeshi la Ukraine - sijui back ground yako kielimu ni ipi? Who told you, you can easily bring down hypersonic missiles - FYI, all designated targets were hit na ushahidi upo - wewe unatuletea story za vijiweni kwa lengo la kujifariji tu - pole sana.Hivi umesahau mapema mwaka huu ulitwambia kwamba jeshi la Urusi linaelekea kuishiwa missiles nk, sasa za juzi zilitoka kwenye Dunia gani?? Na bado the worst is yet to COME tuone kama NATO na kiranja wao mkuu watatia pua ya moja kwa kwa moja kwenye vita hii - endeleeni kujifariji.

Niliyajua hayo kutoka kwa General Valerii Zaluzhnyi wa Ukraine, sasa wewe mwarabu wa hapo Bongo unamzidi yule kwa lipi hadi umbishie.
 
Jamaa yenu anaonekanaga hero kwamba anahutubia akiwa front line...kumbe anatumia green screen technology..wataalamu wa mambo wanasema huenda jamaa yupo Poland kwa sasa
IMG_20221013_073850.jpg

Hilo neno propaganda ndio ushakua msamiati wenu.
 
Hamnaa alishambulia kwa 75 ila 41 zikapanguliwa maana zililenga maeneo nyeti, ila zikaachwa hizo zilizopiga bembea na uswazi.
Kifaa kimeshapokelewa....

Trubarg kakufafanulia mambo kisomi kabisa lakini kwa kuwa wewe ni mbishi tu by default ie asili yako hasa hasa upendi kabisa Merikani kukosolewa au kuona anazidiwa kete na mataifa shindani, ukiona hivyo unakeleka kweli kweli -mpaka unafukia hatua ya kutumbukiza masuala ya DINI.

Nakushauri revisit post #83 ya mzalendo Trubarg imeandikwa kisomi sana lakini kwenye lay language ambayo kila mtu mwenye akili timamu anaelewa vizuri tu save mwenzetu MK254.
 
Back
Top Bottom