Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Jamaa yenu anaonekanaga hero kwamba anahutubia akiwa front line...kumbe anatumia green screen technology..wataalamu wa mambo wanasema huenda jamaa yupo Poland kwa sasa
View attachment 2385510
View attachment 2385511
Yupo Poland - jamaa huyu mbwiya unga akili zake sio nzuri hata kidogo ndio maana anakuwa easily manipulated na Anglo-Saxon gang - hana uchungu wowote na Taifa lake wala Waukraine wenzake anatumika tu kama robot,, lakini tunako elekea mbio zake zinakaribia ukingoni hana jinsi.