Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Jamaa yenu anaonekanaga hero kwamba anahutubia akiwa front line...kumbe anatumia green screen technology..wataalamu wa mambo wanasema huenda jamaa yupo Poland kwa sasa
View attachment 2385510
View attachment 2385511
Trubarg kakufafanulia mambo kisomi kabisa lakini kwa kuwa wewe ni mbishi tu by default ie asili yako hasa hasa upendi kabisa Merikani kukosolewa au kuona anazidiwa kete na mataifa shindani, ukiona hivyo unakeleka kweli kweli -mpaka unafukia hatua ya kutumbukiza masuala ya DINI.
Nakushauri revisit post #83 ya mzalendo Trubarg imeandikwa kisomi sana lakini kwenye lay language ambayo kila mtu mwenye akili timamu anaelewa vizuri tu save mwenzetu MK254.
Wow! Kumbe hadi amekua na jeuri ya kufanya ziara za kimataifa, safi sana.
Hilo la kijani tunaliita kubwa jinga.NATO iliundwa kama muungano wa kujihami, na ni dhahiri vitaifa vidogo vidogo majirani wa Urusi vinapaswa kujiunga maana hana hata aibu ya kujipima na kuvinyanyasa, ila vikijiunga NATO huwa anakaa mbali navyo, hawezi hata akakosea njia.
Ona hii ramani litaifa lote hili kuonea kajirani kama haka, japo kamelitoza kamasi...
Wakati mwingine wewe unakuwaga burudani tosha- Zelensky kaondoka mkuku Ikulu kwenda kusalimisha roho yake kwa jirani Poland wewe unasema yupo kwenye ziara ya Kiserikali, hama kweli ukishangaa ya MUSA utaona ya Filauni.
Zelensky ameondoka ziara ya siku mbili kama rais wa nchi, mumejazana humu kuleta propaganda, baada ya hizo siku mbili sijui mtaficha wapi aibu, ila majihadi huwa hamna aibu lazima mtasema kingine.
Wacha kuleta ujinga wako hapo, mujaheedin wako kwenu huko - nani kakwambia Tanzania tuna tatizo na Al Shaabab - kwa akili zenu za roho mbaya mgependa sana balaa hilo liikumbe Tanzania kwani atuwajui, msione tunanyamaza mjatuoni tu wajinga, nimelazimika kuyasema haya kwa sababu nimeona umezidi sana, fitina tu mwanzo mwisho kukumbilia kwenye NGO na taasisi nyingine za limataifa kujaribu kuzuhia ujenzi wa bomba la mafuta linalo jengwa kutoka Uganda kuja Tanga Tanzania, mlipo shindwa .mradi huo kupitia nchini mwenu ndio mkabuni Plan "B" ili tukose wote!! Hapo sijagusia masuala ya kuhamisha Wamasai kutoka Lolijondo, hata hapo mnataka kujiingiza na Vi NGO mshenzi, leo hii nimeona Mtanzania mwenzetu alilalamika kwamba unasema yeye ni Mujaheedin kakwambia yeye ni mkristo wa dhehebu la Kikatoliki sasa huu ubavu wa kubatiza/twisha dini hisiyo yake unatok
a wapi au una ajenda zako za siri afatiliwe kwa karibu - unapenda penda penda sana kupandikiza chuki za kidini kiaina unafikiri hatuna akili za kukusoma - yafanyeni nchini mwenu sio Tanzania - nimeona nisikulazie DAMU.
Hatuongei kuhusu Tanzania, haihusiki kwenye vita, na mtatokwa povu zote takbirr ha ha ha
Tell you what? Usichukulie kila anaye changia hapa ni "average Joe' Zungumza yanayo husu vita huko Ukraine lakini huna haki ya kuwabatiza baadhi ya watanzania kwamba ni Mujaheedin au sujui wafia DINI!!
waislam wa buza wanaona km huu mgogoro.wa kidinUnafanya makosa kuhusisha uislamu katika huu mzozo,Putin na vingozi wenzie ni Waislam?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana akbar akar umetoweka, turudi frontline acheni kuhangaika na uswazi, kuna vifaa vimekuja kulinda huko.
MAGAIDI watauliwa popote walipoTakbir...wewe ndiye mfuasi mzuri wa hiyo dini, hamna unafiki....
Front line ipi unayoiongelea??-- vita vya zamani ndivyo vilikuwa na front line, vita vya leo sio rahisi kuiona au kuipata front line kwani inahusisha zaidi na tactics za "hit and run" au remotely controll assaults tactics kwa hali hiyo alichofanya Mrusi kupiga tagets rrandomly ni sawa ili akili ya Zelensky zikae sawa na ajue kwamba anapigana na super power na nchi za magharibi na USA zinampa kibure huku ni yeye na nchi yake ndio wanaangamia, idiot Zelensky.