Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.

======

Videos quickly became viral on social networks and other electronic exchange platforms. More than 4 billion Fcfa have just been found at the home of Ian Ghislain Ngoulou, ex-director of cabinet of Nourredin Bongo Valentin.

Yan Ghislain Ngoulou
This discovery was made this Wednesday August 30, following a search by the public prosecutor, André Patrick Roponat.

A few hours before the said search, the Committee on Transition and Restoration of Institutions ( CTRI ) had announced the arrest of Ian Ghislain Ngoulou. The latter as well as Cyriac Mvourandjiami ( ex director of political cabinet of Ali Bongo ), Jessy Ella Ekogha ( ex spokesperson for the Presidency of the Republic ), Mohamed Ali Saliou ( ex deputy director of cabinet of Ali Bongo ), Steeve Nzeko Dieko ( ex Secretary General of the CEO ), Nourredin Bongo Valentin and Abdoul Oceni were arrested for the acts of high treason against state institutions.

These personalities are also prosecuted for the acts involving massive misappropriation of public funds, international financial embezzlement in organized gangs, forgery and use of forgeries, falsification of the signature of the President of the Republic, active corruption and drug trafficking.

Moreover, the CTRI has announced that all those involved in these cases will answer « for their actions.
 
Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.

Jeshi lililofanya mapinduzi na kumuondoa Rais Ali Bongo limesema Viongozi wote waliomatawa watashtakiwa kwa Ubadhirifu mkubwa wa Fedha za Umma, Kuendesha Magenge ya Ufisadi, Kughushi na Kutumia Saini ya Rais, Rushwa na Biashara ya Dawa za Kulevya.

Hadi sasa, Jeshi linawashikiliwa watu wa karibu wa Ali Bongo akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Siasa, Msemaji wa Rais, Naibu Katibu Mkuu Kiongozi, Katibu Mkuu wa Chama Tawala na Mtoto wa Rais.

============

Waje na Tanzania hao wanajeshi wa Gabon
 
Waafrika kila anayepata nafasi cha kwanza anawaza kuiba siyo kutumikia kile alichoaminiwa nacho.

Hata hapa kwetu wote hao wanaopiga makelele sijui makatibu wakuu mawaziri raisi wote wezi tu hakuna mwenye afadhali msiba wetu sote huu,zee zima linaenda umri wa kufa lakini bado lina tamaa yaani linaiba na kuiba na kuiba huyo mpaka anafika umri huo huko kote alikoaminiwa hakuondoka tupu.
 
Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.

Jeshi lililofanya mapinduzi na kumuondoa Rais Ali Bongo limesema Viongozi wote waliomatawa watashtakiwa kwa Ubadhirifu mkubwa wa Fedha za Umma, Kuendesha Magenge ya Ufisadi, Kughushi na Kutumia Saini ya Rais, Rushwa na Biashara ya Dawa za Kulevya.

Hadi sasa, Jeshi linawashikiliwa watu wa karibu wa Ali Bongo akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Siasa, Msemaji wa Rais, Naibu Katibu Mkuu Kiongozi, Katibu Mkuu wa Chama Tawala na Mtoto wa Rais.

============

Videos quickly became viral on social networks and other electronic exchange platforms. More than 4 billion Fcfa have just been found at the home of Ian Ghislain Ngoulou, ex-director of cabinet of Nourredin Bongo Valentin.

Yan Ghislain Ngoulou
This discovery was made this Wednesday August 30, following a search by the public prosecutor, André Patrick Roponat.

A few hours before the said search, the Committee on Transition and Restoration of Institutions ( CTRI ) had announced the arrest of Ian Ghislain Ngoulou. The latter as well as Cyriac Mvourandjiami ( ex director of political cabinet of Ali Bongo ), Jessy Ella Ekogha ( ex spokesperson for the Presidency of the Republic ), Mohamed Ali Saliou ( ex deputy director of cabinet of Ali Bongo ), Steeve Nzeko Dieko ( ex Secretary General of the CEO ), Nourredin Bongo Valentin and Abdoul Oceni were arrested for the acts of high treason against state institutions.

These personalities are also prosecuted for the acts involving massive misappropriation of public funds, international financial embezzlement in organized gangs, forgery and use of forgeries, falsification of the signature of the President of the Republic, active corruption and drug trafficking.

Moreover, the CTRI has announced that all those involved in these cases will answer « for their actions.
Sasa jiulize kwenye akaunti zake za Bank hujo Paris ana trillion ngapi?
 
Habari!!
Sina maneno mengi.Angalieni hiyo clip muone jinsi tunavyoumizwa na hao wanaoitwa waheshimiwa.Huyo ni Waziri wa fedha wa Gabon aliyedakwa akijaribu kutoroka na hayo maburungutu ya hela.Gabon kwa sasa ipo kwenye mamlaka ya wanajeshi baada ya kufanya mapinduzi jana.Sasa huyu ni Waziri tu;vipi wale wa ngazi za juu? Hiyo ndio Afrika.
 
Back
Top Bottom