Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

Kama kiongozi anakubalika na life linaenda vizur bhc aina haja ya kupokezana pokezana ovyo..hata izo nchi za ulaya hazijajengwa kwa demokrasia watawala wa kifalme zaman ndio wamezipa heshima na kuziinua kiuchumi.
 
Kwa mfumo huu wa uongozi Afrika maendeleo tushukuru tutakuwa tunayaona kwenye runinga kwa mabara mengine.

Afrika hatuna viongozi wenye fikra za kimaendeleo bali ni watu wenye nia ya kukaa madarakani kwa gharama yoyote. Hovyo sana.
 
Afrika ina viongozi na marais wajinga wajinga wasiojitambua. Na wakipatikana wanaojitambua hawadumu.
 
Umekosea sana kubadilisha avatar picha yako tuliyoizoea. Naona kwenye avatar una gear zako za kitabibu.
Nimechoka kutumia picha ya mtu mwingine. Maturity ni pale unatumia picha yako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom