nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Kuna interview nyingine most recent amefunguka kuwa oil skin ndio imemfanya asizeeke...
kwa hiyo wale wenye oil skin vumilieni tu michunusi...mfikapo 40s mtaonekana 25....
Muache mikoroga sio issue
Juzi nimeona mahali bi dada naye akidai anasifiwa sana kwa kuonekana below her age na kuwa na skin nzuri sana. Akadai yeye huwa anashukuru tu kwa hizo compliments toka kwa watu mbali mbali, ila hawajui kwamba hali hiyo inasababishwa na yeye kunywa proteins za mumewe zoezi ambalo analifanya mara mbili hadi tatu kwa wiki. Sijui kama hili nalo linasababisha haya.
Mhhh...ntakunywa galoni la maji tu aisee
I am younger...date me...Hahaaaa..
Ombi lako linashughulikiwa...maana waombaji mmkekuwa wengi kuliko wale wa Uhamiaji...
Ngoja nimuombe yule kijana wa humu JF (jina nimesahau linafanana na Ananilea) anitengenezee computer software ya kufanyia mchujo...manually sitaweza aisee...
Ombi lako linashughulikiwa...maana waombaji mmkekuwa wengi kuliko wale wa Uhamiaji...
Ngoja nimuombe yule kijana wa humu JF (jina nimesahau linafanana na Ananilea) anitengenezee computer software ya kufanyia mchujo...manually sitaweza aisee...
Heheee...kumbe tupo wengi hivyoo?
hahahahahaaha lol!!!! Shurti kwa mchujo
Si unajua upendeleo siku hizi watu wanaupinga kwa nguvu zooote...
ulidhani uko peke yako...watu zaidi ya elfu kumi na anayehitajika mmoja...
Itabidi ufanye maombi sana or else nenda Bagamoyo kabisa...
Maana mchujo utakuwa ni hatare na hakuna upendeleo wa eti oooohhhh nilikujua since 2010... oooohhhmimi mkongwe mwenzio...No ...kila mtu ana vigezo na equal chance...hata aliyejiunga JF jana anaruhusiwa ku apply...
Upendeleo muhimu banaaa, huna vigezo weye unavyovitaka awe navyo yule utayemtunuku?
Basi Kazi ipo..
Tena ni kazi wala si ndogo...
kama una roho nyepesi bora ujitoe kwenye kinyng'anyiro...maana chance ya kushinda ni 1/10,0000
Si mchezo..Halafu huyu Gabrielle wanadai ni same age na Beyonce ..na walicheza wote utotoni
No Beyonce wa juzi...huyu ana 41 sasa hivi Bey yuko kwenye early 30s (sijuhi 31)
Wanadai Beyonce anadanganya umri
Okay...basi she is too fake....