nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
- Thread starter
-
- #21
Gumzo kubwa marekani ni ndoa ya Beyonce now...imefikia mwisho but wana mikataba ya kibiashara pamoja..kazi ipo hapo kuigiza wanapendana...tour yao ya sasa tu ni dollar milioni 100..wakisema waachane kwa pamoja wana worth 1 billion dollars...Kazi ipo
Huyu si ndie anaekabaka kale kakijana ka Miami Heat? Mhhhhh! Haya madame Gabrielle.
Mwenzio kafa kaoza wewe unasema anabakwa...
Na wanapendeza kweli kweli wakiwa pamoja...!
Uzee mwisho Msata...
Msata kwenyewe wataandamana soon Hahaaaa
Kwa kweli ni mzuri sana .
kuanzia sasa naanza kunywa maji zaidi napunguza "rekorderling cider" lol :cool2:
Mwenzio kafa kaoza wewe unasema anabakwa...
Na wanapendeza kweli kweli wakiwa pamoja...!
Uzee mwisho Msata...
Mimi mwenyewe kani inspire kweli...ntaleta feedback baada ya miaka 5 ya kunywa maji gallon na mie...lol
Wanadai Beyonce anadanganya umri
Nyumba kubwa, nafuta kauli yangu. Mimi mwenyewe akili junguluka! :moony:
If only all women were looking like that at 40.
Yes genetics zaidiI'd hazard that that has more to do with genetics than lifestyle.
Ally kiba na madame Rita..haha...hii utafananisha na couple ipi Bongo ambayo ke ni mdogo na me mkubwa kama tamaduni zinavyotaka iwe....