Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger

Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger

Ndio ndoa za mastaa hizo...money can't buy love

Gumzo kubwa marekani ni ndoa ya Beyonce now...imefikia mwisho but wana mikataba ya kibiashara pamoja..kazi ipo hapo kuigiza wanapendana...tour yao ya sasa tu ni dollar milioni 100..wakisema waachane kwa pamoja wana worth 1 billion dollars...Kazi ipo
 
Huyu si ndie anaekabaka kale kakijana ka Miami Heat? Mhhhhh! Haya madame Gabrielle.
 
Mwenzio kafa kaoza wewe unasema anabakwa...

Na wanapendeza kweli kweli wakiwa pamoja...!

Uzee mwisho Msata...

Huyu si ndie anaekabaka kale kakijana ka Miami Heat? Mhhhhh! Haya madame Gabrielle.
 
Mimi mwenyewe kani inspire kweli...ntaleta feedback baada ya miaka 5 ya kunywa maji gallon na mie...lol

Kwa kweli ni mzuri sana .
kuanzia sasa naanza kunywa maji zaidi napunguza "rekorderling cider" lol :cool2:
 
Mwenzio kafa kaoza wewe unasema anabakwa...

Na wanapendeza kweli kweli wakiwa pamoja...!

Uzee mwisho Msata...

o-DWYANE-WADE-AND-GABRIELLE-UNION-570.jpg

Nyumba kubwa, nafuta kauli yangu. Mimi mwenyewe akili junguluka! :moony:
 
Mimi mwenyewe kani inspire kweli...ntaleta feedback baada ya miaka 5 ya kunywa maji gallon na mie...lol

saa nyingine wanawake tunahangaika na vitu vingi...
mara day cream mara night cream, sijui masksi....
kumbe jibu ni rahisi na hatuhitaji ku spend fedha nyingi..
 
Wanadai Beyonce anadanganya umri

Hivi hao wanaodai kuwa anadanganya umri walimzaa wao?

Wameshawahi kutoa cheti chake halisi cha kuzaliwa? Wameshawahi kutaja tarehe yake ya kuzaliwa?

Yaani humu kwenye ma intaneti kuna kila aina ya upuuzi.
 
Dwyane-Wade-and-Gabrielle-Union-Coupled-up.jpg
...hii utafananisha na couple ipi Bongo ambayo ke ni mdogo na me mkubwa kama tamaduni zinavyotaka iwe....
 
Back
Top Bottom