Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger

Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger

I really like her smile. I can watch a movie jus to see her smiling!
Khs kunywa maji na protein shakes, ni kweli.
Maji yanaondoa sumu mwilini na kuziongezea seli nguvu na kuziwekea mazingira mazuri ya pH zifanye kazi zake vizuri.
Kazi ya protein ni kujenga mwili. In a sense that cell za binadamu huwa zinakufa daily, na inahitajika proteins na vitamins na vyakula bora kuziba mapungufu hayo. The Boss, na wengine. Waswahili tunazeeka kwa kula vyakula vya wanga, vinavyoongeza nguvu na kunenepesha sababu protini zenyewe huwa ni gharama.
Mayai, samaki, nyama za kuku nk ni kama anasa.
Tuacheni tuzeeke!

mimi hilo jina lako tu.....nabaki hooi...
 
Mazoezi mi nafanya lakini niko makini saaana nisije kuwa na misuli kama wanaume...

Hawa wako obsessed...kama Jada Pinkett...

Na huyu ukimcheki sana misuli imeanza kupitiliza...
 
Hii thread imenivunja mbavu asbh asbh
hongera zake Gabby ,nafkr sijachelewa ila saaaasa ye alianza at thirties .mwe sijui itawork ila nikiongeza na hiyo ya protein ah mambo mswano!
Haaaaaaapo pa kudate machaliii!enhenhenhrnhe vikuuuuumbo jamani!

King'asti magaloni yanahusika mwaya ,ila ntakuoteshea na mlimao pale nje kwako
The Boss nafkr ni wakati wa kubadili jina sasa,tafta swaga za yo yo !watu wanapata mashaka kama utaweza kuprovide protein,no wonder nyumba kubwa anakuwekea vigingi .jiiiiiiiiina bossman!oh jiite hata sheta a.k.a baba kayla

Kongosho unasema umezeeka mpk niiiiiini?
Itabid tu zombie akuchome sindano za protein
 
Last edited by a moderator:
Ciara? Michelle Obama? Hata Lupita dah.

Kwa kweli mwanamke anakuwa na misuli kama tiger?

Mazoezi mi nafanya lakini niko makini saaana nisije kuwa na misuli kama wanaume...

Hawa wako obsessed...kama Jada Pinkett...

Na huyu ukimcheki sana misuli imeanza kupitiliza...
 
Back
Top Bottom