kazi na majukumu ya mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu, ICC ni zipi kwani?πDuru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
uhalifu wa kivita au?Anadai Ruto amemfanyia uhalifu na. Kautaka kumuua