Tetesi: Gachagua kupeleka Kesi ICC The Hague

Tetesi: Gachagua kupeleka Kesi ICC The Hague

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
 
Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
kazi na majukumu ya mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu, ICC ni zipi kwani?🐒
 
Kwani Gachagua ameachia lini ngazi? Mbona ameapa juzijuzi tu hapa kwenye uwanja mashuhuri wa Nyayo mbele ya kamera nyingi, tena wakiwepo waimbaji kutoka Bongo?

Au Kenya wamerudia uchaguzi mkuu?

Anyways, mbona kwenye ile barua yake ya kujiuzulu alikuwa analia na kuomba msamaha kwa rais? Maana yake aliikosea serikali yake mwenyewe, na ndiye alikuwa chanzo cha zile purukushani matata za Genzies?

Na kama ndivyo, huko Dhehegu anaenda kujishtaki yeye mwenyewe? Mbona ana balaa sana huyu Riggy G!

#2027!
 
Anadai Ruto amemfanyia uhalifu na. Kautaka kumuua
uhalifu wa kivita au?

mahakama ya Nyeri inatossha kuskiza Jambo lake.

Na RigyGy,
yafaa atambue kwamba mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC ndugu Karim Khan, pamoja na Naibu wa Rais wa kenya alie apishwa leo ndio walikua mawakili wa William Ruto, Rais wa Kenya wa sasa 🐒
 
Acha uongo. ICC haiusiki na kesi binafsi. Kasome the Rome Statute ya mwaka 1998
 
Back
Top Bottom