Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi na majukumu ya mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu, ICC ni zipi kwani?🐒Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
uhalifu wa kivita au?Anadai Ruto amemfanyia uhalifu na. Kautaka kumuua