😂 😂 😂 😂 😂 😂Gaddafi day au Gaddafi Scholarship
Bububu Kitambo sana VetaNaam karibuni wote
yup yup. Home Sweet Home Ngazi Mia pale siku za Eid mpango mzimaChukwani moja hiyo!
Kuna wengi walipumbazwa na hadaa za kupewa vitita vya manoti ya Qaddafi.Mawqzo yao palepale yakaanza kuishia pua zao zilipochongokea.Mtwnganyika mpumbavu amesahau jinsi battalion ya Gadafi ilivyokuja kwa lengo la kuangamiza ndugu zake Watanganyika.
Angekuwa ana nia njema na Afrika angetaka amani na si upanga moon mwa ndugu (Waafrika).
Sijui ni akili za panzi au ujinga.Kuna wengi walipumbazwa na hadaa za kupewa vitita vya manoti ya Qaddafi.Mawqzo yao palepale yakaanza kuishia pua zao zilipochongokea.
Angeulizwa kama angekuwa tayari mtu mwingine kuongoza hiyo nchi moja ungesikia ambacho angejibu.Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe Kamanda wa Afrika.
**Ikiwa mlishindwa kumlinda basi hata kumkumbuka tu kinawashinda nn?
Na alimsaidia Idi Amin sababu ya dini yake............Ugany vs Tanzania. 1978/79
Gadafi akaona amsaidie
Idd Amin