Gaddafi amesahaulika Umoja wa Afrika haraka mno!

Gaddafi amesahaulika Umoja wa Afrika haraka mno!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe Kamanda wa Afrika.

**Ikiwa mlishindwa kumlinda basi hata kumkumbuka tu kinawashinda nn?
 
Mtwnganyika mpumbavu amesahau jinsi battalion ya Gadafi ilivyokuja kwa lengo la kuangamiza ndugu zake Watanganyika.
Angekuwa ana nia njema na Afrika angetaka amani na si upanga moon mwa ndugu (Waafrika).
Kuna wengi walipumbazwa na hadaa za kupewa vitita vya manoti ya Qaddafi.Mawqzo yao palepale yakaanza kuishia pua zao zilipochongokea.
 
Huyu Mwamba hakupaswa kusahaulika Kwa haraka African Union. Huyu alihimiza taifa moja Afrika (badala ya nchi vipande-vipande 53). Tafadhali AU anzisheni Gaddafi day au Gaddafi Scholarship tumkumbe Kamanda wa Afrika.

**Ikiwa mlishindwa kumlinda basi hata kumkumbuka tu kinawashinda nn?
Angeulizwa kama angekuwa tayari mtu mwingine kuongoza hiyo nchi moja ungesikia ambacho angejibu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom