Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Inawezekana wewe ndiyo umejaa fikra za kidini. Sisi wengine tulikwishajikomboa kwenye hizo fikra za kijinga miaka mingi, ndiyo maana hata familia zetu zina michanganyiko mikubwa ya kiimani. Hatuunganishwi wala kutenganishwa na fikra za kiimani.

Mimi nimeweka iliyokuwa falsafa ya Gadafi iliyokuwa imelalia kwenye fikra duni za kidini. Sijawahi kumchukia Gadafi au mtu yeyote kwa sababu ya imani yake, bali kwa matendo yake.

Hadafi alikuwa katili kwa kila aliyehoji uongozi wake. Ndiyo maana alifuta hata bunge nchini mwake. Aliua kila aliyehoji. Fuatilia historia ya utawala wake. Hata askari aliyemwua alikuwa na chuki binafsi dhidi ya Gadafi kutokana na Gadafi kumkamata ndugu yake pamoja na watu wengine, jumla watu 250, kuwapeleka gerezani, kisha kuwachukua usiku kwa siri, kuwaua na kuwazika kwenye kaburi moja. Askari wote walipewa amri ya kumkamata Gadafi ili ashtakiwe, siyo kumwua. Askari aliyemwua, alipofikishwa mahakamani kwa kosa la kumwua Gadafi, akijitetea alisema kuwa hakuona sababu ya Gadafi kushtakiwa wakati yeye Gadafi aliwaua watu wengine akiwemo kaka yake, bila ya kuwashtaki kwenye mahakama yoyote. Hata alipohukumiwa kunyongwa hadi kufa alisema kuwa alikuwa ameridhika, na anafurahi kwa kuwa amelipiza kisasi kwa Gadafi kwa mauaji aliyoyafanya kwa watu wengine.

Gadafi alionekana mtu mzuri kwa watu wa chini wasioweza kuhoji chochote. Lakini kwa wenye akili wote, alionekana ni dikteta mkubwa. Tena aliweka mfumo wa hovyo wa utawala usioeleza nani anashika madaraka ya nchi kama Rais hayupo, kama wanavyofanya madikteta wote Duniani.
Nyie Tanzania mna bungee na kila baada ya miaka mi5 mnafanya uchaguzi je mmeendelea kuliko libya ya Gadafi?
 
Gaddaf alikuwa mpuuzi sana, bora walimshughulikia, angeleta migogoro ya kidini barani afrika kwa kupindua serikali zisizofuata itikadi ya kiislam. Jicho lake lilikodolea afrika mashariki na kusini mwa afrika kusikokuwa na upuuzi mwingi wa kiislam kama magharibi mwa afrika
 
Ningekuwekea hapa Ushoga wa mtu fulani maarufu sana alioufanya wazi wazi.
Ila kwakuwa ni Mwezi wa Mzee Ramadhani na sio jukwaa la Dini sipendi kuwaudhi wenye staha zao hapa.
Hao uliowaweka sio Manabii wala mitume na wako katika jamii zote.
Ni wahalifu kama wahalifu wengine.
Bakia kwenye mada usijifanye mjuaji sana.
Mbaambaambaaaa
Kaka yako mwingine huyu katika ugalatia

1710702001259.png
 
Ningekuwekea hapa Ushoga wa mtu fulani maarufu sana alioufanya wazi wazi.
Ila kwakuwa ni Mwezi wa Mzee Ramadhani na sio jukwaa la Dini sipendi kuwaudhi wenye staha zao hapa.
Hao uliowaweka sio Manabii wala mitume na wako katika jamii zote.
Ni wahalifu kama wahalifu wengine.
Bakia kwenye mada usijifanye mjuaji sana.
Yote hii migalatia michoko
Mnatuharibia nchi na harufu ya mavi
1710702598156.png
 
Gaddaf alikuwa mpuuzi sana, bora walimshughulikia, angeleta migogoro ya kidini barani afrika kwa kupindua serikali zisizofuata itikadi ya kiislam. Jicho lake lilikodolea afrika mashariki na kusini mwa afrika kusikokuwa na upuuzi mwingi wa kiislam kama magharibi mwa afrika
Ndio maana South Africa wanauwa sana wabongo, sababu walikuwa wanawasaidia kinafiki
Soma kitabu cha mgalatia mwenzako mwenye akili, na kazunguka dunia anavyoelezea jinsi wa south walivyokuwa wanateswa na nyerere
Halafu fuatili msaada wa Gaddafi kwa Umkhonto We Sizwe wa dolari, kambi za mafunzo ya kivita na AK47 za kutosha
Sio nyie wa ngulungwesu huko maporini akili zimejaa kamasi, mkishiba mandolo mnaanza kuhubiri upupu wa yesu

Kama lugha haipandi, tafuta mtu akutafsie, najua hii lugha itakuwa mgogoro kwako

 
Hapa siongei
Karibu jukwaa la Dini.
Huu ni mwezi wa Mzee Ramadhani.
Sitaki kuwa kwanza waungwana.

Halafu ujue Wagaratia ni Kabila moja la watu wa Ugiriki.
Ni kama ukisema Wamasai.
Ni hivi
Huko jukwaa la dini mimi siji, sio kwamba JF ni jukwaa huru, haya kuomba ruhusa sijui kuchangia jukwaa fulani ni ufisi
Mambo hadharani, tuendelee hapahapa
 
Keeping constant (ceteris paribus) other things, Gaddafi was a good leader.

But his hidden agenda was to Islamise all Africans. He disliked so much christians.
Huyu dikteta bora alifutika na mpaka leo hajulikani alikozikwa.
Laanatulah
 
Mtu mweusi wengi wao usiwapiganie, watakutia tu dosari.

Mtu mweusi amekaa kulalamika lalamika, kifitina fitina na kiunafiki nafiki.
Alishindwa kupigania raia wake mpaka wakamuua kama panya halafu ndio akupiganie wewe ngozi nyeusi?!
 
Uwongo nenda kawagawanye mataahira wenzako,waafrika hatutagawanywa na mashetani kama nyie tena kwa mgongo wa dini,kalb hayawan!
Ukweli ni huo. Albert-Benard Bongo (Omar Bongo) wa Gabon hakuwa muisilamu, alipofanya ziara Libya akarudi na kitita akawa muslim. Jean-Bédel Bokassa alifanya ziara Gabon, aliporudi akawa muslim, ila baadaye aliushindwa akarudia Ukristu. Gadafi alitoa support kubwa kwa Idd Amin wa Uganda wakati tunapigana naye, bahati nzuri Mungu akawa upande wa Mkatoliki Julius Nyerere na waLibya kadhaa walitekwa, ila kwa maamuzi ya kiroho walikabidhiwa. Hata Membe naye speech zake siku Gadafi ameuawa, yeye akiwa Waziri wa Mambo ya Nje, ziliashiria kuna kitita kutoka Libya kilimpitia, naye alikuwa anaekekea kuwa kama Omar Bongo
 
Sheikh Mazinde alikuwa anahubiri mambo yake ya kukashif Wakristu anawambia Waislam wenzake Sinagogi ni Msikiti...halafu anawadaganya wenzake Yesu aliingia kwenye Sinagogi na sinagogi ni Msikiti hivyo Yesu alikuwa Mwislam.

Kazi kweli kweli. Sijui yuko wapi siku hizi Mazinde na Mwaipopo
Waislamu alikuwa akiongea wanampa hela waligundua kuwa muongo muongo wakaacha kumpa na yeye akazira
 
Back
Top Bottom