Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Ameshatangaza rasmi kuanza kazi Times Fm, atakua akitangaza kipindi kiitwacho MASKANI saa 10 jioni.
Gadna anaungana na wafanyakazi wenzake waliokuwa Clouds FM, Fina Mango, Masoud Kipanya, Tayna, Bandago, George Njogopa
mambo ya mimba ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu sio suala la kumkashifu mtu, hujafa hujaumbika sidhani kama wana furahia kukosa mtoto ni Mungu tu ndiye mwenye maamuzi kuhusu hilo. Tusimkufuru Mungu jamanialitaka kwenda kulea mtoto na jide...bt Mimba ya mama si iliharibika...naona kaona itachukua muda kupata kid tena
Ameshatangaza rasmi kuanza kazi Times Fm, atakua akitangaza kipindi kiitwacho MASKANI saa 10 jioni.
Gadna anaungana na wafanyakazi wenzake waliokuwa Clouds FM, Fina Mango, Masoud Kipanya, Tayna, Bandago, George Njogopa
Ameshatangaza rasmi kuanza kazi Times Fm, atakua akitangaza kipindi kiitwacho MASKANI saa 10 jioni.
Gadna anaungana na wafanyakazi wenzake waliokuwa Clouds FM, Fina Mango, Masoud Kipanya, Tayna, Bandago, George Njogopa
Hivi Mmiliki wa hii Times Fm ni nani?