Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Hapo kwenye red vepee asee?
 
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyoa Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
 
Hapo kwenye red vepee asee?

Waliojibu Ama Kuchangia 31 Wote Wameielewa Lakini Wewe Tu Mtu Mmoja ( 1 ) " Mbayuwayu " Ndiyo Pekee Hadi Hivi Sasa Unahangaika Kuielewa Huoni Kama Labda Kuna Tatizo Kidogo Katika IDARA Yako Ya MAFIKIRIO?
 
Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
Huyo jamaa ni usalama wa taifa Teh Teh...
 
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa " Oya Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
Mkuu tueleweshe zaidi sisi wa mikoan,hapo et Clouds inaenda kuwa ya kimataifa.Hapo inakuwaje iwe kama BBC,VOA au una maanishaje?
 
PJ alikuwa fundi sana,nitamkosa mno!!

Mkuu Samahani Najua Wewe Utakuwa Ni Mwanaume Mwenzetu Halafu Na Bahati Mbaya Mimi Ni Mtu Wa Pwani Hivyo Nimepata Kidogo Na UKAKASI Na Uliposema Nanukuu " PJ alikuwa fundi sana na kwamba utamkosa mno ". Niweke Sawa Tafadhali Kwani Yaonekana Jamaa ( PJ ) Ni Fundi ALIYETUKUKA.
 
Clouds inatumika kuwamaliza watangazaji wenye determination kama KP na Fina kwishney
 
Huyo jamaa ni usalama wa taifa Teh Teh...

Huku Kwetu Nilipo Nchini Rwanda Kuna Usalama Wa Taifa? Huku Tunalindwa Na Malaika Tu Mkuu. Nisalimie Sana Huko Kwenu Tanzania Na Karibu Sana Hapa Kwetu Kigali Uje Kunywa Maziwa Na Asali.
 
Mkuu tueleweshe zaidi sisi wa mikoan,hapo et Clouds inaenda kuwa ya kimataifa.Hapo inakuwaje iwe kama BBC,VOA au una maanishaje?

Kabla Sijakujibu Naomba Kwanza Nijue Kiwango Chako Cha ELIMU Ili Nisiwe Napata Kazi Ya Ziada au Kupoteza Muda Kukujibu.
 
Fina Na kipanya wamerejea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…