GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
nasikia hando.amehama.clouds kuna ukwel.wowote
Mkuu Yani Gari Yetu Inayoelekea Mbeya Sasa Ipo Kitonga Tunapandisha Mlima Wewe Unataka Kuturudisha Tena Ruvu Darajani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasikia hando.amehama.clouds kuna ukwel.wowote
ndio unijibu mkuuMkuu Yani Gari Yetu Inayoelekea Mbeya Sasa Ipo Kitonga Tunapandisha Mlima Wewe Unataka Kuturudisha Tena Ruvu Darajani.
Hapo kwenye red vepee asee?Naomba Nianze Kwa KUSISITIZA Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Tarehe Ya Leo Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya WAJINGA Ila Naomba Muipokee Hii TAARIFA Kwa UMUHIMU Wake Mkubwa Kwani Ina UKWELI Wa 100%.
Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha JAHAZI.
Pongezi Kwake Gadner G. Habash Na Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani Hakika Sasa Tutaanza Kuiona Ile Clouds Ya KITEGA UCHUMI Yenye Mafundi Watupu Akina Fina Na Kipanya Katika Power Breakfast Na Gadner Katika Jahazi.
Naomba Kuwasilisha Na Nirudie Tena Kusisitiza Kuwa TAARIFA HII HAINA CHEMBE YOYOTE YA DHANA NZIMA YA SIKU YA WAJINGA Kwani UKWELI Ndio Huo.
Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tuHakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyoa Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
Hapo kwenye red vepee asee?
....hahahahahaha..kabisaRuge alijiona ye ni bingwa ababaishwi na watangazaji walioipaisha Clouds akawa anawaacha wanasepa sasa kaona maji ya shingo anaamua kula matapishi yake
Habari za Gadner sio kweli
Huyo jamaa ni usalama wa taifa Teh Teh...Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
Mkuu tueleweshe zaidi sisi wa mikoan,hapo et Clouds inaenda kuwa ya kimataifa.Hapo inakuwaje iwe kama BBC,VOA au una maanishaje?Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa " Oya Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
PJ alikuwa fundi sana,nitamkosa mno!!
Hutakiwi kumuelewa, anjielewa yeye acha kufuatilia maisha ya mtu, yeye ndo anaejuwa wapi kuna fursa sio wewe.Huyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Huyo jamaa ni usalama wa taifa Teh Teh...
Mkuu tueleweshe zaidi sisi wa mikoan,hapo et Clouds inaenda kuwa ya kimataifa.Hapo inakuwaje iwe kama BBC,VOA au una maanishaje?
Kumbe unasikia tu,,,KULE E fm kashindwana na mtaraka wake maana nasikia ni miongoni mwa wamiliki? komandooo!
Fina Na kipanya wamerejea??kuna jamaa aliweka uzi hapasiku chache nyuma kuwa, PJ, Mwihava na Hando hawatakuwa tena na clouds power breakfast kuanzia tarehe moja april, kweli leo asubuhi nakutana na sauti za Fina na Masoud kwenye power breakfast, ila fedwa na Babrah bado wapo. by the way Hando na PJ ndo walikuwa wananifanya nisikilize PB. Ngoja tuone kama fina na masoud wateweza kurejesha ile ladha asili ya PB iliyokuwa kabla hawajaondoka clouds.