Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Naomba Nianze Kwa KUSISITIZA Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Tarehe Ya Leo Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya WAJINGA Ila Naomba Muipokee Hii TAARIFA Kwa UMUHIMU Wake Mkubwa Kwani Ina UKWELI Wa 100%.

Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha JAHAZI.

Pongezi Kwake Gadner G. Habash Na Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani Hakika Sasa Tutaanza Kuiona Ile Clouds Ya KITEGA UCHUMI Yenye Mafundi Watupu Akina Fina Na Kipanya Katika Power Breakfast Na Gadner Katika Jahazi.

Naomba Kuwasilisha Na Nirudie Tena Kusisitiza Kuwa TAARIFA HII HAINA CHEMBE YOYOTE YA DHANA NZIMA YA SIKU YA WAJINGA Kwani UKWELI Ndio Huo.
Hapo kwenye red vepee asee?
 
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyoa Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
 
Hapo kwenye red vepee asee?

Waliojibu Ama Kuchangia 31 Wote Wameielewa Lakini Wewe Tu Mtu Mmoja ( 1 ) " Mbayuwayu " Ndiyo Pekee Hadi Hivi Sasa Unahangaika Kuielewa Huoni Kama Labda Kuna Tatizo Kidogo Katika IDARA Yako Ya MAFIKIRIO?
 
Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
Huyo jamaa ni usalama wa taifa Teh Teh...
 
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa " Oya Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
Mkuu tueleweshe zaidi sisi wa mikoan,hapo et Clouds inaenda kuwa ya kimataifa.Hapo inakuwaje iwe kama BBC,VOA au una maanishaje?
 
PJ alikuwa fundi sana,nitamkosa mno!!

Mkuu Samahani Najua Wewe Utakuwa Ni Mwanaume Mwenzetu Halafu Na Bahati Mbaya Mimi Ni Mtu Wa Pwani Hivyo Nimepata Kidogo Na UKAKASI Na Uliposema Nanukuu " PJ alikuwa fundi sana na kwamba utamkosa mno ". Niweke Sawa Tafadhali Kwani Yaonekana Jamaa ( PJ ) Ni Fundi ALIYETUKUKA.
 
Clouds inatumika kuwamaliza watangazaji wenye determination kama KP na Fina kwishney
 
Huyo jamaa ni usalama wa taifa Teh Teh...

Huku Kwetu Nilipo Nchini Rwanda Kuna Usalama Wa Taifa? Huku Tunalindwa Na Malaika Tu Mkuu. Nisalimie Sana Huko Kwenu Tanzania Na Karibu Sana Hapa Kwetu Kigali Uje Kunywa Maziwa Na Asali.
 
Mkuu tueleweshe zaidi sisi wa mikoan,hapo et Clouds inaenda kuwa ya kimataifa.Hapo inakuwaje iwe kama BBC,VOA au una maanishaje?

Kabla Sijakujibu Naomba Kwanza Nijue Kiwango Chako Cha ELIMU Ili Nisiwe Napata Kazi Ya Ziada au Kupoteza Muda Kukujibu.
 
kuna jamaa aliweka uzi hapasiku chache nyuma kuwa, PJ, Mwihava na Hando hawatakuwa tena na clouds power breakfast kuanzia tarehe moja april, kweli leo asubuhi nakutana na sauti za Fina na Masoud kwenye power breakfast, ila fedwa na Babrah bado wapo. by the way Hando na PJ ndo walikuwa wananifanya nisikilize PB. Ngoja tuone kama fina na masoud wateweza kurejesha ile ladha asili ya PB iliyokuwa kabla hawajaondoka clouds.
Fina Na kipanya wamerejea??
 
Back
Top Bottom