Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Siku akirudiana na mtalaka wake, atapiga nyimbo zake clouds? kuna vitu vinahitaji akiba kufikiri.
 
so wale mliosema wataondolewa clauzzzzz wako matatani wamuondoe kibonde kwanza
 
Kuna mtangazaji mmoja wa ITV niliwahi kukua nae nyumba moja yaani umaarufu alionao na anavyoishi tofauti kabisa mpk mwenye nyumba alimtimua akaondoka anadaiwa mpk bills za umeme
Hayo ni maisha yake, kazi na maisha ya nyumbani ni tofauti haziingiliani!
 
Hayo ni maisha yake, kazi na maisha ya nyumbani ni tofauti haziingiliani!
Acha kudanganya unamtofautisha vp kazi yake na maisha yake!!? Kazi ni kipimo cha utu na utu unaonekana huku kwenye maisha yako. Tunategemea mtu ambae ana kazi nzuri ayamudu pia maisha yake binafsi. Haiwezekani mtu maarufu km MAULID KITENGE kwa mfano,akose hata hela ya pango la nyumba. Hilo ni tatizo tena kubwa...!!

Hayo ni maisha yake, kazi na maisha ya nyumbani ni tofauti haziingiliani!
 
Mkuu...
Hapa ukitazama hii kitu kuanzia mwanzo wa picha ya kuvunjika kwa ndoa ya Jide na Gadna, Gadna alitamka wazi kabisa kwamba ugomvi wa Jide na Ruge, uliwafanya wakapoteza marafiki wengi sana.
Hapo tu apata jibu kwamba jamaa aliamua kua upande wa mkewe tu kwasababu penzi lina uzito kuliko mambo mengine, lakini moyoni alikua akiumi kwa kutengana na Clouds kwasababu ya Jide.
So...
Wakati ana ajiriwa kwa kituo cha Radio ambacho anaondoka sasa na kureje Clouds, utaona kwamba Gadna aliamua kwenda tu kwasababu alikua hana kipato na lazima afanye kazi kwakua tayari walikua wame vurugana na Jide hata kupelekea biashara zao kukosa uelekeo.
Now.....
Kurejea kwa Gadna kwenye kituo cha Clouds sio jambo la kushangaza kwasababu aliondoka kwa nguvu ya penzi na sio kwa kupenda kwake. Pia Clouds inamlipa uzuri kuliko kule alipo kua.
Hivi siku hizi cloudz wanapiga nyimbo za jide?
Nimefikiria haraka haraka nahisi gadner anakwepa kufanya kazi kituo kinachopiga nyimbo za jide.
Na hii ndi ndi ndi everywhere...kajionea arudi zake clouds wenye bifu na jide. Ni mawazo yangu tu lkn.
Ndi ndi ndiiiii
 
Milioni moja kwenda mbele
Basi Radio and Tv station zina fedha

Nimeona akisaini mkataba sijui vituo vingne hufanya hvo? Pia sijawahi ona clouds wakisainisha mkataba wazi wazi vile sijui labda mi mgeni
 
Hivi siku hizi cloudz wanapiga nyimbo za jide?
Nimefikiria haraka haraka nahisi gadner anakwepa kufanya kazi kituo kinachopiga nyimbo za jide.
Na hii ndi ndi ndi everywhere...kajionea arudi zake clouds wenye bifu na jide. Ni mawazo yangu tu lkn.
Ndi ndi ndiiiii
Hivi kaimbwa tena ndindindi ndiiiii.......kama mabinti
 
Acha kudanganya unamtofautisha vp kazi yake na maisha yake!!? Kazi ni kipimo cha utu na utu unaonekana huku kwenye maisha yako. Tunategemea mtu ambae ana kazi nzuri ayamudu pia maisha yake binafsi. Haiwezekani mtu maarufu km MAULID KITENGE kwa mfano,akose hata hela ya pango la nyumba. Hilo ni tatizo tena kubwa...!!
Wewe ndio muongo..si mara zote kazi nzuri ni kipimo cha maisha mtu anayo ishi! Kuna watu wanalipwa vizuri lakini matumizi yao makubwa..mtu kama Maulid ana wake watatu unategemea nini?
Kuna watu wanalipwa vibaya lakini wanaishi vizuri na kwakuwa hawategemei utangazaji tuu wana mambo mengine wanafanya!

Yani mtu ashindwe hata kununua umeme useme kwa sababu analipwa vibaya? Wengine hela zao zinaishia Bar
 
Hebu jaribu kurudia kusoma nilichoandika halafu ulinganishe na ulichoandika uone km vinatofautiana. Zingatia pia sentesi yangu ya mwisho kabisa,nimesema ukiona mtu analipwa vizuri lkn anashindwa hata kulipa hata kodi huyo ana matatizo. Tunafanyakazi kwa ajili ya maisha yetu..!!
 
Back
Top Bottom