kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Siku akirudiana na mtalaka wake, atapiga nyimbo zake clouds? kuna vitu vinahitaji akiba kufikiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amerudi tena!
Kuna mtangazaji mmoja wa ITV niliwahi kukua nae nyumba moja yaani umaarufu alionao na anavyoishi tofauti kabisa mpk mwenye nyumba alimtimua akaondoka anadaiwa mpk bills za umemeKuanzia 250-800 kulingana na kituo alipo..
Milioni moja kwenda mbeleHivi wanalipwa shingapi hawa watangazaji
Hayo ni maisha yake, kazi na maisha ya nyumbani ni tofauti haziingiliani!Kuna mtangazaji mmoja wa ITV niliwahi kukua nae nyumba moja yaani umaarufu alionao na anavyoishi tofauti kabisa mpk mwenye nyumba alimtimua akaondoka anadaiwa mpk bills za umeme
Acha kudanganya unamtofautisha vp kazi yake na maisha yake!!? Kazi ni kipimo cha utu na utu unaonekana huku kwenye maisha yako. Tunategemea mtu ambae ana kazi nzuri ayamudu pia maisha yake binafsi. Haiwezekani mtu maarufu km MAULID KITENGE kwa mfano,akose hata hela ya pango la nyumba. Hilo ni tatizo tena kubwa...!!Hayo ni maisha yake, kazi na maisha ya nyumbani ni tofauti haziingiliani!
Hayo ni maisha yake, kazi na maisha ya nyumbani ni tofauti haziingiliani!
Hivi siku hizi cloudz wanapiga nyimbo za jide?
Nimefikiria haraka haraka nahisi gadner anakwepa kufanya kazi kituo kinachopiga nyimbo za jide.
Na hii ndi ndi ndi everywhere...kajionea arudi zake clouds wenye bifu na jide. Ni mawazo yangu tu lkn.
Ndi ndi ndiiiii
Basi Radio and Tv station zina fedhaMilioni moja kwenda mbele
Kweli kabisaaaaaaYule jamaa aliewekwa Kwenye Jahazi Bw Dakota ana sauti kama ya Gardner vile.
Inabidi wamuache Dakota, Kibonde na Gardner itaenda poa.Kweli kabisaaaaaa
Hivi kaimbwa tena ndindindi ndiiiii.......kama mabintiHivi siku hizi cloudz wanapiga nyimbo za jide?
Nimefikiria haraka haraka nahisi gadner anakwepa kufanya kazi kituo kinachopiga nyimbo za jide.
Na hii ndi ndi ndi everywhere...kajionea arudi zake clouds wenye bifu na jide. Ni mawazo yangu tu lkn.
Ndi ndi ndiiiii
Wewe ndio muongo..si mara zote kazi nzuri ni kipimo cha maisha mtu anayo ishi! Kuna watu wanalipwa vizuri lakini matumizi yao makubwa..mtu kama Maulid ana wake watatu unategemea nini?Acha kudanganya unamtofautisha vp kazi yake na maisha yake!!? Kazi ni kipimo cha utu na utu unaonekana huku kwenye maisha yako. Tunategemea mtu ambae ana kazi nzuri ayamudu pia maisha yake binafsi. Haiwezekani mtu maarufu km MAULID KITENGE kwa mfano,akose hata hela ya pango la nyumba. Hilo ni tatizo tena kubwa...!!
Hebu jaribu kurudia kusoma nilichoandika halafu ulinganishe na ulichoandika uone km vinatofautiana. Zingatia pia sentesi yangu ya mwisho kabisa,nimesema ukiona mtu analipwa vizuri lkn anashindwa hata kulipa hata kodi huyo ana matatizo. Tunafanyakazi kwa ajili ya maisha yetu..!!Wewe ndio muongo..si mara zote kazi nzuri ni kipimo cha maisha mtu anayo ishi! Kuna watu wanalipwa vizuri lakini matumizi yao makubwa..mtu kama Maulid ana wake watatu unategemea nini?
Kuna watu wanalipwa vibaya lakini wanaishi vizuri na kwakuwa hawategemei utangazaji tuu wana mambo mengine wanafanya!
Yani mtu ashindwe hata kununua umeme useme kwa sababu analipwa vibaya? Wengine hela zao zinaishia Bar
Thamani ya kazi unayoifanya inaonekana kwenye maisha unaishi huwezi kutenganisha kazi na maisha fikiria Mara mbili mbili acha kukurupukaMilioni moja kwenda mbele
Hapo wabaki wawili tu.. Zaidi ya hapo ni fujo tu.. Kibonde wish angetoka tu wampe kipindi cha peke yake kwenye tv cha siasa. Gadna abaki na BantuInabidi wamuache Dakota, Kibonde na Gardner itaenda poa.