Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Inaelekea ilikuumiza sana hii. Miaka yote hadi leo unakumbuka nukuu neno kwa neno !!!
 
Wote walitukanana hadharani wacha kumshushia lawama Gardner,alivyozungumza Judith hukusikia au una mahaba Sana na yeye?
Simamia kwenye ukweli Kila wakati ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinichosha aliposema amemkojoza vya kutosha yule dada
 
Fuatilia clouds.....vipindi vyote clouds vimebadilika kisa muda, wao wanasema unatimba pindi lolote na unaliamsha

Gardner, mchomnvu wako PB now...

Huu utaratibu wao mpya binafsi sijauelewa kabisa ile ladha za vipindi imepotea kabisa wamebaki kupayuka kwa mihemko tu, seriousness imepotea kabisa kama mwanzo.
 
Huu utaratibu wao mpya binafsi sijauelewa kabisa ile ladha za vipindi imepotea kabisa wamebaki kupayuka kwa mihemko tu, seriousness imepotea kabisa kama mwanzo.

Yes kuna effect pia

Nadhani ni corona imewafanya ku act hivyo
 
Gadna alirusha kombora moja tu komando Jide chali. Ila sasa hivi wamerudiana.
Kweli mapenzi sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…