Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
Katika kipindi cha Power Breakfast kilicho na muundo mpya Leo hii, mtangazaji maarufu Gardner Habash aliyekuwa ametengana na mke wake mwanamuziki maarufu komando Lady J D amemuomba mtalaka wake huyo kurudisha moyo na kurudi nyumbani ili awe anampikia chai asubuhi.
Pamoja na kuachana kwao kwa kashfa na matusi hadharani je, ombi hilo linaweza kupata majibu chanya? Je, couple hiyo inapendeza kuwa pamoja tena?
Pamoja na kuachana kwao kwa kashfa na matusi hadharani je, ombi hilo linaweza kupata majibu chanya? Je, couple hiyo inapendeza kuwa pamoja tena?