Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

watu 13 kila mmoja laki 2 na 30.

2990000? Kwa hiyo wote madai yenu yanafanana? Tax mlilipa sawa nguo mlikodi sawa na kila kitu sawa hiyo laki 230 mmepanga nyie au yeye
Mnasema gadna kala je mlikua mmeshakaa na kupiga hesabu mnadai bei gani mpaka mjue kala kiasi cha kuwatosha nyinyi kulipwa?
Huu ni udaku tu
 
Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa

Acha kukashifu mme wa mtu wewe. Tena huyu ni zaidi ua mume kwani ni meneja wake pia. Ukimpenda Jide,iweje uchukie familia yake?!! Nyinyi kina Mama si ndo mnasema,'Ukipenda boga penda na ua lake.'
 
Acha kukashifu mme wa mtu wewe. Tena huyu ni zaidi ua mume kwani ni meneja wake pia. Ukimpenda Jide,iweje uchukie familia yake?!! Nyinyi kina Mama si ndo mnasema,'Ukipenda boga penda na ua lake.'

Mwambie atafute pesa zake sio kula hela za watu na kutegemea pesa za jide lol yaan kuoa mwanamke aliyekuzid pesa ni tatizo na hapo inaonyesha hupelekeshwa sana na jide
 
Mleta Uzi huu hapa ndani nahisi analiandikiaga gazeti moja la Shigongo!
 
ninacho jiuliza hawa watu huwa wana wasingizia? Kweli huwa hawakubaliani kulipana?
 
Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa

Aaah duh aya bhana
 
mkuu Fagason ni kweli mnadai 230,000 kila mmoja? Na ilikuwa ahadi ya mdomo?
 
Last edited by a moderator:
Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa

We mwache siku si nyingi... yatamkuta.anakuwa kama wale wacongo bwana!!
 
mkuu Fagason ni kweli mnadai 230,000 kila mmoja? Na ilikuwa ahadi ya mdomo?

ndiyo labda akatae....hii inajumlisha vitu vyote na kwa siku mbili.....ila kesho wenzangu wamepanga mengi ninyi kategeni tu pale langoni watu wataaibika..mi nimeona nisikilizie pembeni ila wengine hawataki story eti tuache tu na mambo kama hayo...kama wanajua kutumia watu kwa manufaa yao basi za mwizi zimetimia 50.
 
ninacho jiuliza hawa watu huwa wana wasingizia? Kweli huwa hawakubaliani kulipana?
ukweli huwa kuna mapatano sasa linapokuja suala la malipo mtu anasahau kwamba ipo siku atawaitaji kama si kwa walewale ni kwa wengine...ivi kwa maisha ya leo mtu unatengeneza video kali na nzuri itakayokuingizia kipato kizuri eti wale waliomuunga mkono uwaambie eti mtajulikana na mtaanza kuitwa mahala pengine..ina maana mahala hapo pengine tene inakuwa bure ama malipo?kama point ni malipo kwa nini usianze wewe?....hizi dharau hizi....
 
Mwambie atafute pesa zake sio kula hela za watu na kutegemea pesa za jide lol yaan kuoa mwanamke aliyekuzid pesa ni tatizo na hapo inaonyesha hupelekeshwa sana na jide

ni kweli kabisa...mana kama analipwa au lao moja iweje adhulumu..kwanza ni kujitia aibu....lakini soni hana yule.
 
Acha kukashifu mme wa mtu wewe. Tena huyu ni zaidi ua mume kwani ni meneja wake pia. Ukimpenda Jide,iweje uchukie familia yake?!! Nyinyi kina Mama si ndo mnasema,'Ukipenda boga penda na ua lake.'

mume wa mtu??????
 
MKUU sijakupatapata vizuri...si kazi ilishaisha ndo mapatano na yule kuzila pesa?..sasa kama walipanga waseme amezila ili watu waogope kumdai basi mambo hayatakuwa ivyo na lazima watu sasa wamejua which is which...malipo huwa kuna makisio ikiwa ni makabaliano..sasa ulitaka wewe iwe ts ngapi mana sijajua una mlengo gani....ushabiki mwingine!
 
Hivi bado hajalipa tu

Bado na kesho ungekuwa na ndugu wa karibu au kijana muda wa mapema ivi asogee pale nyumbani lounge akajionee sinema ya bure....si wote wenye kupuuzia mambo!...mana kama ni kufuatwa amefuatwa unadhani unamuona,,,ni yule kijana wake wancy na dereva saidi anayeonekana na kujibu na akina joshua basi..ila kesho nitakuja kuelezea yatakayojili na magazeti yatakuwepo....ustaarabu si hawana.
 
mlikubaliana kupewa pesa maana naona kuna sehemu unasema mliombwa kunogesha video ila hakuna sehemu yoyote mliyosema mlikubaliana mtalipwa
dhumuni kuu ilikuwa muonekano wa video na ile hadhi ya wahusika ikiwepo unadhifu suti na mashati meupe..moja BAHARI BEACH nyumbani kwa dada mmoja na pili times FM ....USIKU...MASAAA 8...BADA YA HAPO MALIPO,YAANI NIACHE SHUGHULI ZANGU ZA KILA SIKU nikazunguke tu sehemu zote?yeye iyo video ataigawa bure tu kwenye media? hata akili ndogo itajua kulikuwa na kitu hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…