Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

watu 13 kila mmoja laki 2 na 30.

2990000? Kwa hiyo wote madai yenu yanafanana? Tax mlilipa sawa nguo mlikodi sawa na kila kitu sawa hiyo laki 230 mmepanga nyie au yeye
Mnasema gadna kala je mlikua mmeshakaa na kupiga hesabu mnadai bei gani mpaka mjue kala kiasi cha kuwatosha nyinyi kulipwa?
Huu ni udaku tu
 
UNAWEZA usiamini lakini ukweli ndo huo...Jide majuzi ya tarehe 5 na 6 aliomba watu WAKE wa karibu kutafuta watu ili wamsaidie kupendezesha VIDEO ya wimbo wake mpya wenye maneno ya kinyago usinitishe.bado haujatoka na kweli jamaa wakafanya juu chini kupiga simu hapa na pale kuwapata watu tena kwa madai kwamba wawe wenye muonekano maridhawa...isitoshe wawe na mashati meupe au suti...jambo ambalo lilitimizwa kwa siku mbili mfululizo.

Siku ya kwanza tena usiku wa manane wakaenda Bahari Beach wakashoot VIDEO YA PILI tIMES FM....licha ya matatizo ya siku ya kwanza kuchelewa bada ya gari ya jide kugongwa na wachina na kwenda kumalizana KITUO CHA Osterbay jamaa walivumilia mpaka mwisho,tena kwa kuacha familia zao na kwa mapenzi makubwa kwa dada yao..sasa kwa kuwa waliahidiwa kifuta majonzi na ukizingatia kuna wengine waliingia gharama za kukodi nguo ili kunogesha video lakini hata ile Nauli tu imekuwa mizengwe kuwarudishia.(Story zinakuwa nyingi hiyo ni dharau).

Kuna kijana wa JIDE SIJUI NI ndugu ama nini mana wanafanana aitwae HANSI (huwa anahusika na malipo) kila akikumbushwa anadai bado,mara kwani tatizo nini,mara siku zilezile adai ni usiku pesa haziwezi kutoka,mara watu wake wengine waseme tena mshukuru ndo mwanzo wa kutoka kwani VIDEO ikitoka mtaanza kuitwa huku na kule....yaani eti wameuza sura!..(hata kama kuna ukweli je ndo makubaliano?).

Sasa kali kuliko yote ni baada ya wale wahusika leo kuwafungia kazi na kuwafuata pale nyumbani LOUNGE kujua tatizo ni nini?ndipo majibu ya kwamba Gaadner akiwa kama meneja mkuu alipewa na amekula mpaka jumatatu sasa haijajulikana anakuwa na maana gani?....sijui hajui kama anaharibu sifa ya mkewe?au ni dharau kwamba wao sasa wanazo wanaweza wanaweza wakafanya chozhote?Tafadhali kuna leo na kesho....walipeni watu,walitake RISK NJIANI.

Hata kama ni kidogo kuliko lawama hizi hazifai na wewe Gadner kama hupewi zako za kutosha Omba mbona anakupenda yeye yupo tayari kuuza nyumba kwa jili yako ila usitake ADVANTAGE kumuumiza,kuna siku atakuchoka!

Gadner unajua kumbuka ulikotoka,yetu macho,watu wakikulilia sana ni nuksi huwa una tabia izo kuzikazika pesa za malipo na kukausha! na kwa kuwa ni wanyonge hubakia wakiumia kimyakimya.mtu atoke MBEZI MAKABE SAA SABA USIKU eti uwambie aliuza sura?....bAsi video nzima ungekuwa wewe basi tuone inakuwaje!..LIPA BWANA ACHA IZO!

Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa

Acha kukashifu mme wa mtu wewe. Tena huyu ni zaidi ua mume kwani ni meneja wake pia. Ukimpenda Jide,iweje uchukie familia yake?!! Nyinyi kina Mama si ndo mnasema,'Ukipenda boga penda na ua lake.'
 
Acha kukashifu mme wa mtu wewe. Tena huyu ni zaidi ua mume kwani ni meneja wake pia. Ukimpenda Jide,iweje uchukie familia yake?!! Nyinyi kina Mama si ndo mnasema,'Ukipenda boga penda na ua lake.'

Mwambie atafute pesa zake sio kula hela za watu na kutegemea pesa za jide lol yaan kuoa mwanamke aliyekuzid pesa ni tatizo na hapo inaonyesha hupelekeshwa sana na jide
 
Mleta Uzi huu hapa ndani nahisi analiandikiaga gazeti moja la Shigongo!
 
hata diamond yalimkuta kama haya waliibuka kina dada na madai kama haya mwisho wa siku wakatoka kapa wizi wa kuaminika unaujua ww? Wauza nyago hutoka kapa kama huamini endeleeni kudai
unaenda kushtaki namdai kifutajasho?
Wizi wa kuaminika usiojulikana ni kiasi gani cha fedha?

ninacho jiuliza hawa watu huwa wana wasingizia? Kweli huwa hawakubaliani kulipana?
 
Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa

Aaah duh aya bhana
 
hakuna haja ya kunidharau na ukweli ni kwamba hakuna hata mmoja aliyekata mauno na si fani yangu zaidi ya kuonekana kama watu mlio kwenye paty na kila mtu na kinywaji..hapa naongelea time wasting.kwa siku mbili na usiku wa manane tena sehemu tofauti halafu makubaliano...ivi wewe hujawai kukubaliana na mtu kwa mdomo?yote huwa unayaandikia risti? Na maandishi juu?kumbuka ilikuwa urgent na pengine walioandaliwa kabla walikataa au sijui ilikuwaje na sisi hatukuona haja ya kukataa sa long as tunapatana na mtu anayeaminika lakini kuishi kwingi ni kuona mengi...hata ivyo nakushukuru kwa mchango wako.

mkuu Fagason ni kweli mnadai 230,000 kila mmoja? Na ilikuwa ahadi ya mdomo?
 
Last edited by a moderator:
Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa

We mwache siku si nyingi... yatamkuta.anakuwa kama wale wacongo bwana!!
 
mkuu Fagason ni kweli mnadai 230,000 kila mmoja? Na ilikuwa ahadi ya mdomo?

ndiyo labda akatae....hii inajumlisha vitu vyote na kwa siku mbili.....ila kesho wenzangu wamepanga mengi ninyi kategeni tu pale langoni watu wataaibika..mi nimeona nisikilizie pembeni ila wengine hawataki story eti tuache tu na mambo kama hayo...kama wanajua kutumia watu kwa manufaa yao basi za mwizi zimetimia 50.
 
ninacho jiuliza hawa watu huwa wana wasingizia? Kweli huwa hawakubaliani kulipana?
ukweli huwa kuna mapatano sasa linapokuja suala la malipo mtu anasahau kwamba ipo siku atawaitaji kama si kwa walewale ni kwa wengine...ivi kwa maisha ya leo mtu unatengeneza video kali na nzuri itakayokuingizia kipato kizuri eti wale waliomuunga mkono uwaambie eti mtajulikana na mtaanza kuitwa mahala pengine..ina maana mahala hapo pengine tene inakuwa bure ama malipo?kama point ni malipo kwa nini usianze wewe?....hizi dharau hizi....
 
Mwambie atafute pesa zake sio kula hela za watu na kutegemea pesa za jide lol yaan kuoa mwanamke aliyekuzid pesa ni tatizo na hapo inaonyesha hupelekeshwa sana na jide

ni kweli kabisa...mana kama analipwa au lao moja iweje adhulumu..kwanza ni kujitia aibu....lakini soni hana yule.
 
Acha kukashifu mme wa mtu wewe. Tena huyu ni zaidi ua mume kwani ni meneja wake pia. Ukimpenda Jide,iweje uchukie familia yake?!! Nyinyi kina Mama si ndo mnasema,'Ukipenda boga penda na ua lake.'

mume wa mtu??????
 
2990000? Kwa hiyo wote madai yenu yanafanana? Tax mlilipa sawa nguo mlikodi sawa na kila kitu sawa hiyo laki 230 mmepanga nyie au yeye
Mnasema gadna kala je mlikua mmeshakaa na kupiga hesabu mnadai bei gani mpaka mjue kala kiasi cha kuwatosha nyinyi kulipwa?
Huu ni udaku tu
MKUU sijakupatapata vizuri...si kazi ilishaisha ndo mapatano na yule kuzila pesa?..sasa kama walipanga waseme amezila ili watu waogope kumdai basi mambo hayatakuwa ivyo na lazima watu sasa wamejua which is which...malipo huwa kuna makisio ikiwa ni makabaliano..sasa ulitaka wewe iwe ts ngapi mana sijajua una mlengo gani....ushabiki mwingine!
 
Hivi bado hajalipa tu

Bado na kesho ungekuwa na ndugu wa karibu au kijana muda wa mapema ivi asogee pale nyumbani lounge akajionee sinema ya bure....si wote wenye kupuuzia mambo!...mana kama ni kufuatwa amefuatwa unadhani unamuona,,,ni yule kijana wake wancy na dereva saidi anayeonekana na kujibu na akina joshua basi..ila kesho nitakuja kuelezea yatakayojili na magazeti yatakuwepo....ustaarabu si hawana.
 
mlikubaliana kupewa pesa maana naona kuna sehemu unasema mliombwa kunogesha video ila hakuna sehemu yoyote mliyosema mlikubaliana mtalipwa
dhumuni kuu ilikuwa muonekano wa video na ile hadhi ya wahusika ikiwepo unadhifu suti na mashati meupe..moja BAHARI BEACH nyumbani kwa dada mmoja na pili times FM ....USIKU...MASAAA 8...BADA YA HAPO MALIPO,YAANI NIACHE SHUGHULI ZANGU ZA KILA SIKU nikazunguke tu sehemu zote?yeye iyo video ataigawa bure tu kwenye media? hata akili ndogo itajua kulikuwa na kitu hapa...
 
Back
Top Bottom