wewe sio bure kuna kitu kwani tatizo ni lipi uliloliona mpaka ujudge ivyo?Mleta Uzi huu hapa ndani nahisi analiandikiaga gazeti moja la Shigongo!
Hata diamond yalimkuta kama haya waliibuka kina dada na madai kama haya mwisho wa siku wakatoka kapa wizi wa kuaminika unaujua ww? Wauza nyago hutoka kapa kama huamini endeleeni kudai
Unaenda kushtaki namdai kifutajasho?
Wizi wa kuaminika usiojulikana ni kiasi gani cha fedha?
Mh.. wewe ulikuepo kwenye hao waliotake risk...
Inaitwaje hiyo nyimbo
Nahisi na wewe ni mmoja wao na akina Shigongo!wewe sio bure kuna kitu kwani tatizo ni lipi uliloliona mpaka ujudge ivyo?
Warumi mbona nasikia kama ni kinyago usinitishe sijui kumbe ni historia tena
Toka lini wauza njago wakalipwa[/QUOTE
Wanaishije?....halafu ni vile iyo video hujaiona..tumekodishwa watu maarumu si kama unavyochukulia hata kama ni ivyo huwa wanalipwa na ndo mana ukaona wanasurvive!!!
Umaarufu gani walionao?
MKUU sijakupatapata vizuri...si kazi ilishaisha ndo mapatano na yule kuzila pesa?..sasa kama walipanga waseme amezila ili watu waogope kumdai basi mambo hayatakuwa ivyo na lazima watu sasa wamejua which is which...malipo huwa kuna makisio ikiwa ni makabaliano..sasa ulitaka wewe iwe ts ngapi mana sijajua una mlengo gani....ushabiki mwingine!
Dah sijui hata madhumuni ya hizi tuhuma naweza kuziita fake nimerudia mara 999 hiyo hii video lkn sioni hayo masuti meupe wala dalili ya hao watu hizi njaa nyingine noma
STREET CONSCIOUS: NEW VIDEO:Lady Jaydee - Historia (Official Music Video)
Jibu hoja ushabiki maana yake nini
Warumi mbona nasikia kama ni kinyago usinitishe sijui kumbe ni historia tena
Historia
Ni kweli, ana haki...hata ukimsoma vizuri, wala hupati taabu kugundua kwamba anacholalamikia ni cha ukweli.aisee! Ina maana hii habari ilishaletwa humu? Duu pengine ana uchungu sana.
NasDaz lakini naona ana haki ya kupata haki yake japo kafanya haraka kuleta hili swala humu.
Heloo, maneno mengi ya nini...si ungesema tu kwamba nyie ni pacha ama ndugu ndo maana hata sauti zinafanana?!Hapana,ukweli utabakia huo..wala usichanganye mada au kuupotosha ukweli.....kama umefuatilia mada zote utagundua madai ni yanafanana aliyezulumiwa na anaye mtetea ndugu yake....sasa wewe unataka kuaminisha kwamba ni mtu mmoja si kweli.. ninavyojua hata unaporegister kuna mpaka email na --------- na ujumbe sasa there is no way mtu ufungue yahoo mbili au hotmail kuwe n sababu kubwa sijui ukiwa unataka nini...hata wataalamu wa haya mambo wafungue tu waone mawasiliano yangu ya huyo bwana na mimi kama ni sawa, mimi ni she yeye ni he....sasa kilichotokea nilipoona anazidiwa na upenzi wa watu humu wa jide kumshambulia wakati anaumia ndo nikasaidia lakini ukweli unabakia palepale kwamba mada zinafanana na rudiapoonewa! rekodi zetu za nyuma utabaini ukweli.....ACHA UPOTOSHAJI hata kama wapo wenye id nyingi sijui zinawasaidia nini kama post ni zilezile...au hawana kazi siwezi jua...ila fuatilia hata kwa MOds WATAKWAMBIA HAPA UNAWAONGELEA WATU WAWILI TOFAUTI ila mada moja!! RUDIA POST ZANGU .ha