Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Hata diamond yalimkuta kama haya waliibuka kina dada na madai kama haya mwisho wa siku wakatoka kapa wizi wa kuaminika unaujua ww? Wauza nyago hutoka kapa kama huamini endeleeni kudai
Unaenda kushtaki namdai kifutajasho?
Wizi wa kuaminika usiojulikana ni kiasi gani cha fedha?

siwezi kukulaumu sana pengine hujasoma toka mwanzo kifupi umedandika ndege kwa nyuma.
 
Video ya historia ilifanyika November mwaka Jana, hao waliovaa white tupu walialikwa kwa ajili ya kuicheki upya(preview) video ya historia kabla haijatoka, na walioalikwa walikuwa ni fans wake toka facebook ambao aliwauliza maswali kadhaa washindi kadhaa walialikwa kushiriki hiyo party, na wala sio video kama wanavyodai, kuhusu malipo nitarudi
 

Attachments

  • 1392139625298.jpg
    1392139625298.jpg
    50.9 KB · Views: 157
  • 1392139640955.jpg
    1392139640955.jpg
    25.2 KB · Views: 148
Warumi mbona nasikia kama ni kinyago usinitishe sijui kumbe ni historia tena
 
Warumi mbona nasikia kama ni kinyago usinitishe sijui kumbe ni historia tena

Hamna lolote binamu, hao walialikwa kwenye party ya historia video music preview ndo wakavaa nguo nyeupe, kwenye video ya historia hakuna mtu aliyevaa nguo nyeupe
 
MKUU sijakupatapata vizuri...si kazi ilishaisha ndo mapatano na yule kuzila pesa?..sasa kama walipanga waseme amezila ili watu waogope kumdai basi mambo hayatakuwa ivyo na lazima watu sasa wamejua which is which...malipo huwa kuna makisio ikiwa ni makabaliano..sasa ulitaka wewe iwe ts ngapi mana sijajua una mlengo gani....ushabiki mwingine!

Jibu hoja ushabiki maana yake nini
 
Warumi mbona nasikia kama ni kinyago usinitishe sijui kumbe ni historia tena

kifupi best yangu achana na Warumi atakupotezea mudi na hajui anachokifanya...kumbe anawajua mpaka akina wancy wale wanaohusika na malipo kwa jide..akaahidi eti aarudi na majibu kimyaaaaaaaaaaaa!mpaka mambo yamekuwa mengine (nimejua ivyo baada ya yeye kunisahisha eti sio hancy ni wancy na ni kweli......anakuja tena na mengine iyo historia anayosemasio huo wimbo bado jina na angalia jpili hii kwenye DIARY YA JIDE...huwa nachukia sana watu waongo tena wanaojiamiisha kama walikuwepo...ivi huo wimbo wa historia una maneno kama kinyago usitishe.?nyamaza subiri utaiona.
 

sio huo wewe,mbona unataka kuchanganya mambo?subilia jpili kwenye diary ya jide na utaona maana ya wk hii alianza na iliporekodiwa na bado kuipa jina!kweli wapambe wana nguvu!
 
aisee! Ina maana hii habari ilishaletwa humu? Duu pengine ana uchungu sana.

NasDaz lakini naona ana haki ya kupata haki yake japo kafanya haraka kuleta hili swala humu.
Ni kweli, ana haki...hata ukimsoma vizuri, wala hupati taabu kugundua kwamba anacholalamikia ni cha ukweli.
 
Hapana,ukweli utabakia huo..wala usichanganye mada au kuupotosha ukweli.....kama umefuatilia mada zote utagundua madai ni yanafanana aliyezulumiwa na anaye mtetea ndugu yake....sasa wewe unataka kuaminisha kwamba ni mtu mmoja si kweli.. ninavyojua hata unaporegister kuna mpaka email na --------- na ujumbe sasa there is no way mtu ufungue yahoo mbili au hotmail kuwe n sababu kubwa sijui ukiwa unataka nini...hata wataalamu wa haya mambo wafungue tu waone mawasiliano yangu ya huyo bwana na mimi kama ni sawa, mimi ni she yeye ni he....sasa kilichotokea nilipoona anazidiwa na upenzi wa watu humu wa jide kumshambulia wakati anaumia ndo nikasaidia lakini ukweli unabakia palepale kwamba mada zinafanana na rudiapoonewa! rekodi zetu za nyuma utabaini ukweli.....ACHA UPOTOSHAJI hata kama wapo wenye id nyingi sijui zinawasaidia nini kama post ni zilezile...au hawana kazi siwezi jua...ila fuatilia hata kwa MOds WATAKWAMBIA HAPA UNAWAONGELEA WATU WAWILI TOFAUTI ila mada moja!! RUDIA POST ZANGU .ha
Heloo, maneno mengi ya nini...si ungesema tu kwamba nyie ni pacha ama ndugu ndo maana hata sauti zinafanana?!
 
Back
Top Bottom