Gadner Habbash uso kwa uso na Jay Dee kwenye msiba wa mke wa Kibonde

Kibonge ni X wa Jay De? Mbona kamshika mkono kimahaba au huyo mwenye miwani ndiye Gardner?
 
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who where used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana ikiwemo wawili hao ku missiana but kuna mmoja anaonekana kumiss mwenzake zaidi...mana hata Kibonde naona katoa tabasamu flani hivi ambalo linaongeza mnogo wa picha hii.🙂🙂......toa maoni yakoView attachment 808962
Kwa sisi watundu wa kutumia vidole kwenye salam na mwanamke unayemtaka hpo kwenye picha nimeelewa nini G alikifanya hasa ukiangalia uelekeo wa kidole cha Gadner kinachochungulia kwa chini kwenye kiganja cha Jide.....
 
Wabongo hamuishiwi kwa maneno. Wasingesalimiana pia mngeongea.
 
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who where used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana ikiwemo wawili hao ku missiana but kuna mmoja anaonekana kumiss mwenzake zaidi...mana hata Kibonde naona katoa tabasamu flani hivi ambalo linaongeza mnogo wa picha hii.🙂🙂......toa maoni yakoView attachment 808962
Kilikuja na meli. Tumia kilugha chetu.
Tulioishi ilikozaliwa hii lugha tunaona aibu!
Please stick to your national language!
 
Kwa sisi watundu wa kutumia vidole kwenye salam na mwanamke unayemtaka hpo kwenye picha nimeelewa nini G alikifanya hasa ukiangalia uelekeo wa kidole cha Gadner kinachochungulia kwa chini kwenye kiganja cha Jide.....
Alimtekenyaa?
 
Back
Top Bottom