Gadner Habbash uso kwa uso na Jay Dee kwenye msiba wa mke wa Kibonde

Gadner Habbash uso kwa uso na Jay Dee kwenye msiba wa mke wa Kibonde

Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who where used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana ikiwemo wawili hao ku missiana but kuna mmoja anaonekana kumiss mwenzake zaidi...mana hata Kibonde naona katoa tabasamu flani hivi ambalo linaongeza mnogo wa picha hii.🙂🙂......toa maoni yakoView attachment 808962
Hapa ndo nyumbani kwa KIBONDE????
 
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who where used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana ikiwemo wawili hao ku missiana but kuna mmoja anaonekana kumiss mwenzake zaidi...mana hata Kibonde naona katoa tabasamu flani hivi ambalo linaongeza mnogo wa picha hii.🙂🙂......toa maoni yako

Mkuu, ili nitowe maoni....
Ebu kwanza weka ya kiswahili chake, maana wengine tulikuaga tunakaa dawati la mwisho nyuma huko..... Na mwalimu wa hii lugha tulikuaga hatumsikii vizuri
 
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who where used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake hands in Kibonde's wife burial ceremony yesterday july 13....kwa hii picha inaleta tafsiri nyingi sana ikiwemo wawili hao ku missiana but kuna mmoja anaonekana kumiss mwenzake zaidi...mana hata Kibonde naona katoa tabasamu flani hivi ambalo linaongeza mnogo wa picha hii.🙂🙂......toa maoni yakoView attachment 808962
"...who where used...."

Jamani tukienzi kiswahili kuepuka kuharibu lugha za watu.
 
Back
Top Bottom