Gadner Habbash uso kwa uso na Jay Dee kwenye msiba wa mke wa Kibonde

Kibonge ni X wa Jay De? Mbona kamshika mkono kimahaba au huyo mwenye miwani ndiye Gardner?
 
Kwa sisi watundu wa kutumia vidole kwenye salam na mwanamke unayemtaka hpo kwenye picha nimeelewa nini G alikifanya hasa ukiangalia uelekeo wa kidole cha Gadner kinachochungulia kwa chini kwenye kiganja cha Jide.....
 
Wabongo hamuishiwi kwa maneno. Wasingesalimiana pia mngeongea.
 
Kilikuja na meli. Tumia kilugha chetu.
Tulioishi ilikozaliwa hii lugha tunaona aibu!
Please stick to your national language!
 
Kwa sisi watundu wa kutumia vidole kwenye salam na mwanamke unayemtaka hpo kwenye picha nimeelewa nini G alikifanya hasa ukiangalia uelekeo wa kidole cha Gadner kinachochungulia kwa chini kwenye kiganja cha Jide.....
Alimtekenyaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…