Basi ile hoja yenu "tumesajili mchezaji hatari kutoka ulaya' inamaana gani??Kwani ligi yetu Ina ubora wa ligi ya uingereza mpaka aje mchezaji mwenyewe ubora wa kugombaniwa na timu za ligi ya uingereza .hao tulio nao katika ligi wangekuwa na nusu ya ubora huo tusingekuwa nao.
JibuHivi ni kwa nini usajili wa Yanga unawauma zaidi nyinyi mashabiki wa simba, kuliko sisi wenye timu yetu? Kwani shida iko wapi hasa!
Si mnatakiwa kufurahia huu usajili wetu wa hovyo!
Simba awakai kimya, Simba fedha hakuna. Asije akudanganye mtu eti Simba au Yanga. atafanya usajili kimya kimya.Jibu
Kwa nini kukaa kimya kwa Simba katika usajili kunawauma Yanga? [emoji23][emoji23]
Sasa kama ni kweli ametoka ulaya unataka tuseme katoka wapi?Basi ile hoja yenu "tumesajili mchezaji hatari kutoka ulaya' inamaana gani??
Sio kwamba mmekaa kimya shida ni kwamba hawana mvuto wachezaj wanaotajwa kuja kwenu eg, manzoki, okra, kiyombo, kapama, akpan nan asiejua kuwa wanaenda simba?Jibu
Kwa nini kukaa kimya kwa Simba katika usajili kunawauma Yanga? [emoji23][emoji23]
Key point ni neno "mchezaji hatari" hayo mengine umeyasema wewe, hakuna mtu timamu anaeweza kushangaa mchezaji kutoka ulaya kuja bongo.Sasa kama ni kweli ametoka ulaya unataka tuseme katoka wapi?
Mbona mnakosa uvumilivu kwa mambo madogo tuu? Kuweni na subira kama mzuri mtajionea na kama wakawaida mtamkosoa na kumponda mtakavyo.
NB ni kweli ametoka ulaya ata kama itawauma
Level ya ligi kuu ya Uingereza ni tofauti na michuano ya caf na Nbc league ukilijua Hili Unaweza usiwe na doubt kabisaAwe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Hoja yangi ni kwamba angekuwa na kiwango kilekile alichokuwa nacho wakati yupo Newcastle, angeifikiria Yanga?Level ya ligi kuu ya Uingereza ni tofauti na michuano ya caf na Nbc league ukilijua Hili Unaweza usiwe na doubt kabisa
Hilo Ndiyo Jambo HaswaaTutaona ufanisi wake
Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??
😂😂
Unaamini awe na kiwango cha Newcastle aje acheze Tanzani?!Bigirimana nilimkubali Sana alipokuwa Newcastle, kama atakuwa na kiwango chake kile atawasaidia Sana.
Je Samatta anaweza kuja huku akiwa bado kwenye kiwango chake? Yani bado ni mchezaji anaehitajika huko ulaya kisha aje kucheza Simba Sc?2013 kipindi yuko newcastle,samata alikua tp mazembe,leo hii makolo mnataka kusema hamuwezi kumsajili samata?
Last season kuna kolo mwenzio alisema kama kweli djuma shaban kasajiliwa atatembea uchiJe Samatta anaweza kuja huku akiwa bado kwenye kiwango chake? Yani bado ni mchezaji anaehitajika huko ulaya kisha aje kucheza Simba Sc?
Siku ukiona Samatta karudi bongo ujue ni garasa tayari.
Msimu wa usajili una vituko
Ni sawa na mwanamke changu anaharibu mkoa A katembea na kila mtu, watu wanamchoka anahsmia mkoa B wasiomjua kule vijana wanaanza kupigana vikumbo wanamfukuzia eti demu mpya. Kumbe fille lake alikotoka halifai
Mpira mchezaji kiwango kinaisha kabisa timu A anatemwa, Timu B inamchukua kwa mbwembwe , airport, kwenye mitandao wanarejea video zake za zamani wakati akiwa kwenye fomu. Wanashangilia eti wamepata mchezaji mpya[emoji3][emoji3][emoji3]
uyu jamaa ni mpiga kampeni wa engineer asikusumbue [emoji14]Hii inahusiana vipi na usajili wa Bigirimana, A top player at his prime aliyeamua kuachana na team za ulaya licha ya kuwa zinamhitaji, ili aje Tz?