Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

Kwani ligi yetu Ina ubora wa ligi ya uingereza mpaka aje mchezaji mwenyewe ubora wa kugombaniwa na timu za ligi ya uingereza .hao tulio nao katika ligi wangekuwa na nusu ya ubora huo tusingekuwa nao.
Basi ile hoja yenu "tumesajili mchezaji hatari kutoka ulaya' inamaana gani??
 
Basi ile hoja yenu "tumesajili mchezaji hatari kutoka ulaya' inamaana gani??
Sasa kama ni kweli ametoka ulaya unataka tuseme katoka wapi?
Mbona mnakosa uvumilivu kwa mambo madogo tuu? Kuweni na subira kama mzuri mtajionea na kama wakawaida mtamkosoa na kumponda mtakavyo.
NB ni kweli ametoka ulaya ata kama itawauma
 
Jibu
Kwa nini kukaa kimya kwa Simba katika usajili kunawauma Yanga? [emoji23][emoji23]
Sio kwamba mmekaa kimya shida ni kwamba hawana mvuto wachezaj wanaotajwa kuja kwenu eg, manzoki, okra, kiyombo, kapama, akpan nan asiejua kuwa wanaenda simba?
 
Sasa kama ni kweli ametoka ulaya unataka tuseme katoka wapi?
Mbona mnakosa uvumilivu kwa mambo madogo tuu? Kuweni na subira kama mzuri mtajionea na kama wakawaida mtamkosoa na kumponda mtakavyo.
NB ni kweli ametoka ulaya ata kama itawauma
Key point ni neno "mchezaji hatari" hayo mengine umeyasema wewe, hakuna mtu timamu anaeweza kushangaa mchezaji kutoka ulaya kuja bongo.

Mshangao unakuja pale "mchezaji hatari" anapotoka ulaya kuja bongo, hilo swala la kustaajabisha sana.
 
Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Level ya ligi kuu ya Uingereza ni tofauti na michuano ya caf na Nbc league ukilijua Hili Unaweza usiwe na doubt kabisa
 
Level ya ligi kuu ya Uingereza ni tofauti na michuano ya caf na Nbc league ukilijua Hili Unaweza usiwe na doubt kabisa
Hoja yangi ni kwamba angekuwa na kiwango kilekile alichokuwa nacho wakati yupo Newcastle, angeifikiria Yanga?

Swala la level za ligi hata mimi najua, na siwezi kupingana na wewe.
 
2013 kipindi yuko newcastle,samata alikua tp mazembe,leo hii makolo mnataka kusema hamuwezi kumsajili samata?
Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??

😂😂
 
Msimu wa usajili una vituko

Ni sawa na mwanamke changu anaharibu mkoa A katembea na kila mtu, watu wanamchoka anahsmia mkoa B wasiomjua kule vijana wanaanza kupigana vikumbo wanamfukuzia eti demu mpya. Kumbe fille lake alikotoka halifai

Mpira mchezaji kiwango kinaisha kabisa timu A anatemwa, Timu B inamchukua kwa mbwembwe , airport, kwenye mitandao wanarejea video zake za zamani wakati akiwa kwenye fomu. Wanashangilia eti wamepata mchezaji mpya😀😀😀
 
Wanaoponda humu ni Simba ila Kumbuka hata Morrison alikuja Kama Free agents kutoka South Africa ila mwisho wa siku tunakumbuka Simba walivyoanza kulia lia juu yake.

Saido amekipga Ligi Kubwa ya Ufaransa Mwisho wa Siku kaja Yanga kacheza kwa Ubora Mkubwa tu.

Wabongo Sometime tuwe na Kasumba ya kusoma vitu, watu wanaidharau Burundi ila Burundi wana uwezo wa Kupanga Kikosi cha wachezaji 11 wote wanacheza nje ya nchi.

Tambwe mwenyewe kawatesa sana mabeki, Mavugo.

Angalia makocha wengi wa Kirundi wapo kwetu wanafundisha Mpira.
 
2013 kipindi yuko newcastle,samata alikua tp mazembe,leo hii makolo mnataka kusema hamuwezi kumsajili samata?
Je Samatta anaweza kuja huku akiwa bado kwenye kiwango chake? Yani bado ni mchezaji anaehitajika huko ulaya kisha aje kucheza Simba Sc?

Siku ukiona Samatta karudi bongo ujue ni garasa tayari.
 
Je Samatta anaweza kuja huku akiwa bado kwenye kiwango chake? Yani bado ni mchezaji anaehitajika huko ulaya kisha aje kucheza Simba Sc?

Siku ukiona Samatta karudi bongo ujue ni garasa tayari.
Last season kuna kolo mwenzio alisema kama kweli djuma shaban kasajiliwa atatembea uchi
 
Hahahah
Msimu wa usajili una vituko

Ni sawa na mwanamke changu anaharibu mkoa A katembea na kila mtu, watu wanamchoka anahsmia mkoa B wasiomjua kule vijana wanaanza kupigana vikumbo wanamfukuzia eti demu mpya. Kumbe fille lake alikotoka halifai

Mpira mchezaji kiwango kinaisha kabisa timu A anatemwa, Timu B inamchukua kwa mbwembwe , airport, kwenye mitandao wanarejea video zake za zamani wakati akiwa kwenye fomu. Wanashangilia eti wamepata mchezaji mpya[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa takwimu ni usajili mzuri kwa mtani, hapa ni suala la muda tu.
Gael bigirimana profile yake imeshiba, tulizkea kumuona akiumana na kina arteta

Hatua nzuri mtani.
 
Back
Top Bottom