Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

Huyo kafeli maisha toka ulaya uje kuchezea utopolo wazee wa kununua ubingwa
 
Nimesema na nitaendelea kusema kuwa, hakuna mchezaji aliye kwenye kiwango chake(prime) huko ulaya anaeweza kuja kucheza bongo hapa.

Ni lazima tukubali kwanza kuwa huyo mchezaji hana soko kule kwahiyo anakuwaja bongo kutafuta nafasi.

Huku Africa anaweza kufanikiwa lakini bado ni probability, kwahiyo ondoeni vitisho vya kusema ni mchezaji HATARI.
Kama msuva mwenyewe hataki kucheza huku itakuwa huyo mhutu Gael kashaisha
 
Umeandika kwa uchungu sana aisee.
Nadhan unachotaka tuseme wakawaida kitu ambacho hakiwezekani.. ukweli ni kwamba kwa ligi yetu ni mchezaj hatar na anapaswa kupewa sifa hizo

Amezaliwa katika karne ya ubishi tu.
 
Hivi ni kwa nini usajili wa Yanga unawauma zaidi nyinyi mashabiki wa simba, kuliko sisi wenye timu yetu? Kwani shida iko wapi hasa!

Si mnatakiwa kufurahia huu usajili wetu wa hovyo!
Kuchambua usajili wa mtani inapendeza
 
Kama msuva mwenyewe hataki kucheza huku itakuwa huyo mhutu Gael kashaisha
Kwa muafrika yoyote yule aliefanikiwa kucheza ulaya, hata kama akiwa na fursa ya kucheza daraja la tatu ulaya basi hawezi kuja huku.

Akija huku ujue hatakiwi na kila team huko nje.
 
Umeandika kwa uchungu sana aisee.
Nadhan unachotaka tuseme wakawaida kitu ambacho hakiwezekani.. ukweli ni kwamba kwa ligi yetu ni mchezaj hatar na anapaswa kupewa sifa hizo
Aliprove lini huo uhatari wake kwenye ligi yetu (kwasasa)? Kwasasa acha tujadili yaliyopo (kuwa ni finished player), akija kufanya vizuri kwenye ligi tutampa sifa zake baadae.

Maswala ya kutaka tuamini kuwa hapa atafanikiwa kabla hatujamuona ni ushabiki wa kiboya, yaani tuamini tu😂.
 
Kwa muafrika yoyote yule aliefanikiwa kucheza ulaya, hata kama akiwa na fursa ya kucheza daraja la tatu ulaya basi hawezi kuja huku.

Akija huku ujue hatakiwi na kila team huko nje.
Huu NI ukweli mchungu Ila wanakaza fuvu Tu soon watakuelewa
 
Kwa muafrika yoyote yule aliefanikiwa kucheza ulaya, hata kama akiwa na fursa ya kucheza daraja la tatu ulaya basi hawezi kuja huku.

Akija huku ujue hatakiwi na kila team huko nje.
kweli hata kina Sunderland,Green forest ,Yeovil ,sportmouth hawajamwona ila wamemwona Yanga....achilia mbali EPL na championship hata daraja latu hawajamwona.
 
Aliprove lini huo uhatari wake kwenye ligi yetu (kwasasa)? Kwasasa acha tujadili yaliyopo (kuwa ni finished player), akija kufanya vizuri kwenye ligi tutampa sifa zake baadae.

Maswala ya kutaka tuamini kuwa hapa atafanikiwa kabla hatujamuona ni ushabiki wa kiboya, yaani tuamini tu😂.
Wewe ni Muha?
 
kweli hata kina Sunderland,Green forest ,Yeovil ,sportmouth hawajamwona ila wamemwona Yanga....achilia mbali EPL na championship hata daraja latu hawajamwona.
Kipindi Rivaldo anacheza ligi kuu ya Angola hao unao wataja hawakumuona?
 
Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??

[emoji23][emoji23]
Kipindi anacheza na arteta alikuwa na miaka 20
 
Back
Top Bottom