TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Walimwambia Pilato msulubishee, msulubisheee, damu yake iwe juu yetu na watoto wetuWafuasi wa Mudi wanachuki sana na wayahudi
Kumbe na wewe ni mpuuzi? Sikujua!Hizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kijinga sana ya safari hii.
... fundi bomba hawa hawa tunaowajua au wengine?Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba
Cover fundi bomba.View attachment 3681932
Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.
Rubani mwenzake ameiambia Channel 16 ya Israel kuwa rubani huyo alijiunga na Flydubai miezi 8 iliyopita. Wakati Ndege hiyo ikiruka toka Dubai kwenda Israel jana na ikiwa angai, rubani huyo alimchoma rubani kiongozi na akaanza kuiangusha Ndege. Rubani kiongozi alifanikiwa kufungua mlango wa chumba cha kuongozea Ndege kabla hajazimia akapiga kelele kuomba msaada. Abiria walifanikiwa kumdhibiti rubani aliyegeuka gaidi na wakaiongoza Ndege kutua salama kwa dharura nchini Saudi Arabia.
Soma Pia: Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia
Ndege hiyo ilibeba abiria 174 ambapo karibu wote wakiwa raia wa Israel. Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba wakati rubani aliyechomwa kisu ni raia wa India.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Hii ni sawa na kwenda mbele huku miguu ikielekezwa nyumaKwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.
Mpumbavu ni yule anayeamina eti fundi bomba anaweza kurusha ndege kwa kunagali kwenye muvi tuKumbe na wewe ni mpuuzi? Sikujua!
Alikuwa anawahi bikira 72. Hizi dini ni upuuzi, mtu amesoma na kuzunguka dunia bado anafanya upumbavu km huo? Dini hapana!View attachment 3681932
Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.
Rubani mwenzake ameiambia Channel 16 ya Israel kuwa rubani huyo alijiunga na Flydubai miezi 8 iliyopita. Wakati Ndege hiyo ikiruka toka Dubai kwenda Israel jana na ikiwa angai, rubani huyo alimchoma rubani kiongozi na akaanza kuiangusha Ndege. Rubani kiongozi alifanikiwa kufungua mlango wa chumba cha kuongozea Ndege kabla hajazimia akapiga kelele kuomba msaada. Abiria walifanikiwa kumdhibiti rubani aliyegeuka gaidi na wakaiongoza Ndege kutua salama kwa dharura nchini Saudi Arabia.
Soma Pia: Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia
Ndege hiyo ilibeba abiria 174 ambapo karibu wote wakiwa raia wa Israel. Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba wakati rubani aliyechomwa kisu ni raia wa India.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwenzake huyu hapaHizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kijinga sana ya safari hii.
We ni sawa na huyo mbwa mfia diniMpumbavu ni yule anayeamina eti fundi bomba anaweza kurusha ndege kwa kunagali kwenye muvi tu
Kilichonishngaza ni huyo Fundi Bombay aliwezaje kuongoza ndegeView attachment 3681932
Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.
Rubani mwenzake ameiambia Channel 16 ya Israel kuwa rubani huyo alijiunga na Flydubai miezi 8 iliyopita. Wakati Ndege hiyo ikiruka toka Dubai kwenda Israel jana na ikiwa angai, rubani huyo alimchoma rubani kiongozi na akaanza kuiangusha Ndege. Rubani kiongozi alifanikiwa kufungua mlango wa chumba cha kuongozea Ndege kabla hajazimia akapiga kelele kuomba msaada. Abiria walifanikiwa kumdhibiti rubani aliyegeuka gaidi na wakaiongoza Ndege kutua salama kwa dharura nchini Saudi Arabia.
Soma Pia: Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia
Ndege hiyo ilibeba abiria 174 ambapo karibu wote wakiwa raia wa Israel. Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba wakati rubani aliyechomwa kisu ni raia wa India.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
HahahaMpumbavu ni yule anayeamina eti fundi bomba anaweza kurusha ndege kwa kunagali kwenye muvi tu
Kilichonishangaza 'fundi bomba' kugeuka rubani na kuokoa abiria.View attachment 3681932
Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.
Rubani mwenzake ameiambia Channel 16 ya Israel kuwa rubani huyo alijiunga na Flydubai miezi 8 iliyopita. Wakati Ndege hiyo ikiruka toka Dubai kwenda Israel jana na ikiwa angai, rubani huyo alimchoma rubani kiongozi na akaanza kuiangusha Ndege. Rubani kiongozi alifanikiwa kufungua mlango wa chumba cha kuongozea Ndege kabla hajazimia akapiga kelele kuomba msaada. Abiria walifanikiwa kumdhibiti rubani aliyegeuka gaidi na wakaiongoza Ndege kutua salama kwa dharura nchini Saudi Arabia.
Soma Pia: Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia
Ndege hiyo ilibeba abiria 174 ambapo karibu wote wakiwa raia wa Israel. Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba wakati rubani aliyechomwa kisu ni raia wa India.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Tuliza akili usikilize vizuri! Shida na ww mihemko ya hiyo dini inakupelekesha. Umeambiwa ndani ya ndege kulikuwa na abiria 2 ambao ni marubani by profession!Kilichonishngaza ni huyo Fundi Bombay aliwezaje kuongoza ndege
Fundi bomba wa mchongo, ni shushushu mbobeziKilichonishngaza ni huyo Fundi Bombay aliwezaje kuongoza ndege
Naam,Alikuwa anawahi bikira 72. Hizi dini ni upuuzi, mtu amesoma na kuzunguka dunia bado anafanya upumbavu km huo? Dini hapana!